chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Weka mavituNilichomfanyia mmoja kwa tamaa tamaa zake hata kuja kusahau, nadhani nikisimulia nitatoa siri, watashtuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mavituNilichomfanyia mmoja kwa tamaa tamaa zake hata kuja kusahau, nadhani nikisimulia nitatoa siri, watashtuka!
Anayeomba pesa (hasa kama haujala mbususu) bila aibu huwa tunamwambia njoo geto uchukue [emoji2957][emoji2957]Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo
Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!
Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line! Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa! Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+
Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
Ndio.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mwanamke tuwahonge ila tuwahonge kwa umakini
Ungesubiri ukue kijana, umasikini na mapenzi ya bongo ni mafuta na maji.Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo
Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!
Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line! Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa! Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+
Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
Ukiona wewe ndio unatumia nguvu kusak wasichana wewe jua bado unasafari ndefu kijana[emoji23][emoji23][emoji23]Jana mm nilipigwa17 na shoo sikupewa kidgo nizimie maaneo ya bonjokwa huko v8. Narud zangu saa sita njia nziam nalalamika nakujutiaa had nimegoma kula Jana nimeonga saba pesa mingi 15+2000+12000+2000 jumla 35000 imekwenda asbh kwa hasira nikaanza na maharage mandazi yaaani
Nimejilaumu mpk bas Bora ningenunua kadeti mbili hata nipendeze
Unatoaje hela kabla kazi haijafanyika?.Mtumie na hiyo ya kwenye kibubu aimalizie tu.Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo
Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!
Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line!
Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa!
Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+
Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
Lete stryNilichomfanyia mmoja kwa tamaa tamaa zake hata kuja kusahau, nadhani nikisimulia nitatoa siri, watashtuka!
Jana mm nilipigwa17 na shoo sikupewa kidgo nizimie maaneo ya bonjokwa huko v8. Narud zangu saa sita njia nziam nalalamika nakujutiaa had nimegoma kula Jana nimeonga saba pesa mingi 15+2000+12000+2000 jumla 35000 imekwenda asbh kwa hasira nikaanza na maharage mandazi yaaani
Nimejilaumu mpk bas Bora ningenunua kadeti mbili hata nipendeze
Nakupa mbinu yangu hii itakusaidia.Jana mm nilipigwa17 na shoo sikupewa kidgo nizimie maaneo ya bonjokwa huko v8. Narud zangu saa sita njia nziam nalalamika nakujutiaa had nimegoma kula Jana nimeonga saba pesa mingi 15+2000+12000+2000 jumla 35000 imekwenda asbh kwa hasira nikaanza na maharage mandazi yaaani
Nimejilaumu mpk bas Bora ningenunua kadeti mbili hata nipendeze
Dah me nilihonga laki moja na demu alionesha kunipenda Yuko hawezi kuniacha nikimuomba gemu anadai atakuja na haraka gani baada ya kumkabidhi hiyo laki akajidai Sina hisia na ww dah sahizi namimi naenda nipe nikupe tu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ukisikia mwanamke anakuja na pigo amekuuliza, khamis unanipenda kweli? akarudia kweli unaipenda....mwanaume ukijiroga mikazio ya unampemda ni yeye tu basi ujue kibunda lazima kipukutike na usimle
Mnunulie kitochi cha 20k mpelekee.Mademu wana mambo ya kijinga sana, mi wangu Jana night nzima napiga simu haipatikani, asubuhi hapatikani....baadae ananicheki kwa namba ngeni anasema simu yake imedumbukia kwenye maji, nimemshtukia anataka kunipiga na kitu kizito ili akanunue simu nyingine