Mahusiano ya siku mbili, nimepoteza 67k, roho inaniuma!

Jana mm nilipigwa17 na shoo sikupewa kidgo nizimie maaneo ya bonjokwa huko v8. Narud zangu saa sita njia nziam nalalamika nakujutiaa had nimegoma kula Jana nimeonga saba pesa mingi 15+2000+12000+2000 jumla 35000 imekwenda asbh kwa hasira nikaanza na maharage mandazi yaaani

Nimejilaumu mpk bas Bora ningenunua kadeti mbili hata nipendeze
Dah! Nimecheka sana.hakika vijana tunapitishwa kwenye moto wa mateso japo mengine ni kujitakia.kwa hali ya sasa ukiombwa hela kimbia bila kugeuka isitoshe kwa mdangaji.
 
Vinane pale kwa wamburaa umejichanganya
 
Dah! Nimecheka sana.hakika vijana tunapitishwa kwenye moto wa mateso japo mengine ni kujitakia.kwa hali ya sasa ukiombwa hela kimbia bila kugeuka isitoshe kwa mdangaji.
Acha tu babu 35 yangu nimeonga wanawake na hkun hata mmoja nimemla Niko na chati na aliyetafuna 12 yangu Bado. Ananiletea ujinga yule aliye tumia 17 yeye nimemtumia tuz kubwa San asbh na nikamlima bloku kubwa

Sasa HV siongi Tena mwisho Jana imetosha
 
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo

Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!

Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line! Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa! Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+

Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
Wanaume ehhh ila wanaume tutafika mbinguni tupo hoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha tu babu 35 yangu nimeonga wanawake na hkun hata mmoja nimemla Niko na chati na aliyetafuna 12 yangu Bado. Ananiletea ujinga yule aliye tumia 17 yeye nimemtumia tuz kubwa San asbh na nikamlima bloku kubwa

Sasa HV siongi Tena mwisho Jana imetosha
Kama mimi tu mkuu, naanza kutafiti chimbo la mal*y* wa buku 3 kwa gori pale Manz*s* ili kusudi ndani ya siku 3 nimemwaga mabao matatu hata kwa 9,000 kuliko kumwaga maelfu unaishia kupigia puli picha zao za dp!
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Awali nilijua kuwa mahusiano na vibinti ambavyo bado vinalishwa ndio yanayochanganya ubongo

Leo nimeamini kuwa mwanamke ni mwanamke tu!

Nilikuwa nikimuomba mbususu niichakate kitambo sana, ila alinikatalia, ikafikia kipindi nikaona niachane nae, ndipo aliponitumia sms kuniuliza kama nampenda au! Nikamjibu kuwa nampenda, na hiyo ndo sababu ya kumuomba mbususu! Kidogo kidogo akaingia line! Nikampanga siku, yaani siku ya 3 tokea siku tumezungumza, akakubali, jioni yake kanitumia sms kuwa ana shida na 40k, nikamtumia kwa M pesa! Siku ya tukio mchana akanipigia akanambia ana shida na 50k nikamwambia kwa sasa nina 30k kwenye simu, akaiomba, nikamtumia 27k, jioni yake aka mute, nilimtafuta mpaka nikachoka, muda huo nishamtafunia karanga, nazi ya kusagwa, mo energy, glucose, chupa la maji baridi! Nishaukanda mkuyenge na maji ya moto, nimejiogea zangu niko gheto! ila hakutokea, asubuhi yake kaniomba msamaha akanambia kuwa yuko njiani anakuja, lakini wapi, hakutokea! Na simu haipatikani tokea jana hadi leo [emoji24][emoji24] Kasababisha nimerudi rasmi kwenye chama cha CHAPUTA kwa kasi ya 6G+

Halafu kwenye kibubu nina 20k ndo ninayoitegemea inifikishe tarehe 1
[emoji24][emoji24]
Ha ha ha
 
Unatoaje pesa na bidhaa ingali kwa 'mangi'!!!
 
Back
Top Bottom