Mahusiano ya siku mbili, nimepoteza 67k, roho inaniuma!

Anayeomba pesa (hasa kama haujala mbususu) bila aibu huwa tunamwambia njoo geto uchukue [emoji2957][emoji2957]

Usirudie tena huo upuuzi, akiwa hataki basi akae na mbususu yake na mimi nikae na hela yangu.
 
Ungesubiri ukue kijana, umasikini na mapenzi ya bongo ni mafuta na maji.
Hebu kuza kipato kwanza.
Akiibuka atakwambia bibi yake alianza kuharisha na ioe pesa uliyomtumia aliitumia kumtibu.
Hivyo anaomba umtumie nauli aje.

Achana na hii mbo bado hujafikia kushindana na ngozi na hutoshinda kijana angu🤣🤣🤣
 
Ukiona wewe ndio unatumia nguvu kusak wasichana wewe jua bado unasafari ndefu kijana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tulizana chapa kazi, fanya maendeleo hadi wenyewe waanze kukufukuzia.
Ukiona manka anaanza kukupigia simu basi hali yako inaonyesha dalili ya kuwa na pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatoaje hela kabla kazi haijafanyika?.Mtumie na hiyo ya kwenye kibubu aimalizie tu.
 
Ila we jamaa HUNA AKILI kabisa,vijana kama nyinyi hamna mchango kwenye maendeleo ya chama wala taifa[emoji23]
 
Mmmm mbona kiboyaboya tuu unatuma mizigo bila hata kula tunda?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukihonga laki si utazimia na kulazwa
 
Nakupa mbinu yangu hii itakusaidia.

before mahusiano kuanza hakikisha unamwambia mwanamke, siku tukilana busu tu nikakushika na kiuno, ndo kiashiria kwamba tumeanza kudate rasmi.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ukisikia mwanamke anakuja na pigo amekuuliza, khamis unanipenda kweli? akarudia kweli unaipenda....mwanaume ukijiroga mikazio ya unampemda ni yeye tu basi ujue kibunda lazima kipukutike na usimle
Dah me nilihonga laki moja na demu alionesha kunipenda Yuko hawezi kuniacha nikimuomba gemu anadai atakuja na haraka gani baada ya kumkabidhi hiyo laki akajidai Sina hisia na ww dah sahizi namimi naenda nipe nikupe tu
 
Mnunulie kitochi cha 20k mpelekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…