Mahusiano ya siku mbili, nimepoteza 67k, roho inaniuma!

dah me nilihonga laki moja na demu alionesha kunipenda Yuko hawezi kuniacha nikimuomba gemu anadai atakuja na haraka gani baada ya kumkabidhi hiyo laki akajidai Sina hisia na ww dah sahizi namimi naenda nipe nikupe tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume tumeumbiwa matesooo, matesooo kuhangaika.
Man down.
 
Ulikosea sana ungewapigia Voda chap urudishe muamala
 
Hahaha
 
Usijali kwani shida huwa haziishi na njia ya muongo ni fupi atarudi tena tu kukuomba pesa … plus achana na hao jamaa puchu haina madhara yoyote kama upigi na ugongi ndio utapata madhara

Muongo na muasherati si Lao moja. Kwenye nyumba za ibada anatoa 500 fungu la 10 hakuna ana Muibia hadi Mungu ye akiibiwa anapiga kelele. Na bado
 
Dah pole sana mkulungwa, juzi kati na mm yalinikuta kuna ka manzi kalikuwa mkoa fulan muhuni si nikatuma nauli manzi kaingia mitini imekula kwangu, sasa juzi kuna demu fulan kaja na shida zake oh nisaidie elf 40 nikamwambia njoo uchukue geto eti kagoma anaogopa ntamtia nikamwambia ukija ili nikupe ela lazm nikutmbe zen nakupa sahivi unyama unyama tu kila mtu abaki na chake
 
nikamwambia njoo uchukue geto eti kagoma anaogopa ntamtia nikamwambia ukija ili nikupe ela lazm nikutmbe zen nakupa
Na kwanini sasa wanaogopa kutiwa? Yaani hawa wanawake bhana! Au kuna siri ipi iko nyuma ya pazia kuhusu wao kutiwa!
 
Ulituma nauli shs ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…