Vonzelewsk
Member
- Sep 20, 2018
- 55
- 70
- Thread starter
- #41
Nilishawai kumuuliza lakini muhusika anasema amna kitu yani yuko sawaJifunze kut ku force upendwe au umuhimu wako uonekane.
Hiyo ni dalili moja wapo kuwa muhusika hakuhitaji. Lakini kabla ya hapo muite ongea nae kujua tatizo, ila asipokuwa muwazi
Ondoka, nenda unapokubalika