OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo za kudeka mkuu ni sms za kupanga mipango yetu ya apo baadae lakini mtu anakujibu ..HAAAAA OKAYLakini pia sio vyema mwanaume kujikita kwenye uandikaji wa SMS ndefu ndefu za kudeka.
Japo wanasema mapenzi ayawezi kubalance lazima mmoja awe mjinga ili yaendeKwenye mapenzi ni raha sana kama kina mmoja anamuhitaji mwenzie
Oooh pole sana , unapitia kipindi kigum kwakwel.Ushaur wangu jitahid kumwelew mpenz wako ili ujue wap Pana changamoto , ukigundua kuwa ana mpango wa kando bas huna budi kufanya maamuzi."sio Kila utakae okota nae kuni ndio utaota nae moto".MOVE ON!Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.
Mwezi mmoja uliopita nilianza kuona mabadiriko anitumii txt mpaka mimi nianze, apigi mpaka nianze mimi yani mimi kama nikikausha ndio basi iyo na ata akijibu basi ujibu vile.. atakavyo kama vile PW,HAYA etc.. yaani unaweza kutuma txt inayohitaji maelezo mengi lakini majibu yake ni OKAY au SAWA..
Kwa uzoefu wangu naona kabisa hapa jahazi limeshazama yaani sihitajiki lakini moyo ndio umegoma kumuacha yaani nakuwa kama mtumwa kukubali kuendelea sehemu ambayo najua tayari sipendwi.. shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.
Msaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
Uwe unalia unapokula tunda atajirudi!Shida ni moyo yani nataka vyote tunda na mapenzi.
😀😀😀mkuu, download ule wimbo wa Mbosso, wa penzi limevuja tena, takusaidia sana baadae....
Yani akili inajua kabisa kuwa apa sitakiwi lakini moyo ndio shida bado unahamini atabadilika tuA good dancer know when to leave a stage.
Mnakuwa mnadilishana, leo huyu mjinga kesho mwingineJapo wanasema mapenzi ayawezi kubalance lazima mmoja awe mjinga ili yaende
Nikilalamika sana anasema basi nisamehe lakini baada ya apo mwendo ni ule uleMnakuwa mnadilishana, leo huyu mjinga kesho mwingine
Ukipenda sana na mwenzako akagundua ilo basi utanyookaMapenzi mabaya mapenzi mabaya ananiona Zobaaaa!
Jifunze kut ku force upendwe au umuhimu wako uonekane.Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.