Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Make the most of your resources to re-establish your connection to your creator.Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.
Mwezi mmoja uliopita nilianza kuona mabadiriko anitumii txt mpaka mimi nianze, apigi mpaka nianze mimi yani mimi kama nikikausha ndio basi iyo na ata akijibu basi ujibu vile.. atakavyo kama vile PW,HAYA etc.. yaani unaweza kutuma txt inayohitaji maelezo mengi lakini majibu yake ni OKAY au SAWA..
Kwa uzoefu wangu naona kabisa hapa jahazi limeshazama yaani sihitajiki lakini moyo ndio umegoma kumuacha yaani nakuwa kama mtumwa kukubali kuendelea sehemu ambayo najua tayari sipendwi.. shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.
Msaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
Ndani ya jiji la mzizimqUmesema uko wapi?
MeWewe ni Ke au Me?
Acha ujinga.Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.
Mwezi mmoja uliopita nilianza kuona mabadiriko anitumii txt mpaka mimi nianze, apigi mpaka nianze mimi yani mimi kama nikikausha ndio basi iyo na ata akijibu basi ujibu vile.. atakavyo kama vile PW,HAYA etc.. yaani unaweza kutuma txt inayohitaji maelezo mengi lakini majibu yake ni OKAY au SAWA..
Kwa uzoefu wangu naona kabisa hapa jahazi limeshazama yaani sihitajiki lakini moyo ndio umegoma kumuacha yaani nakuwa kama mtumwa kukubali kuendelea sehemu ambayo najua tayari sipendwi.. shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.
Msaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
Muite ghetto kula kisamvu chako cha kopo kisha mwambie aende akajifikie vizuri jahazi likizama hapo basi kuna muhuni anae mpakua zaidi yako kakuzidi kete achana nae mazimaMsaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
Huo ni umama Jifunze kuishi bila yeyeInauma sana 😢
Kubali matokeo na ujipange kwa mahusiano mengine. Vinginevyo usiruhusu hisia zikakutawala.Habari ndugu zangu member wa JF ndugu yenu yamenifika.. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano yetu toka mwaka jana mwezi wa 11, tulianza vizuri kama mnavyojua penzi jipya simu za kila mara kutumiana txt mpaka saa 8 za usiku.
Mwezi mmoja uliopita nilianza kuona mabadiriko anitumii txt mpaka mimi nianze, apigi mpaka nianze mimi yani mimi kama nikikausha ndio basi iyo na ata akijibu basi ujibu vile.. atakavyo kama vile PW,HAYA etc.. yaani unaweza kutuma txt inayohitaji maelezo mengi lakini majibu yake ni OKAY au SAWA..
Kwa uzoefu wangu naona kabisa hapa jahazi limeshazama yaani sihitajiki lakini moyo ndio umegoma kumuacha yaani nakuwa kama mtumwa kukubali kuendelea sehemu ambayo najua tayari sipendwi.. shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.
Msaada wenu member wenzangu kama mnavyojua moyo ukishapenda akili inaacha kufanya kazi.
Nimekuelewa sana mkuu1.Huenda ana machimbo mawili so anapima upepo huku na huku hakuna excuse ya mtu kutokukumbuka kimawasiliano hususan girls wanapenda chatting kuliko hata sisi wanaume.
2.Fikiria kuanzisha mahusiano mengine huku ukiendelea nae ila unajiandaa kujitoa kdg kdg
3. Huenda umemuweka kwenye comfort zone hafeel ile excitement ya mahusiano remember kutokuwa predictable and nice guy kwenye mahusiano ( apply bad boy tricks)
Ni kweli mkuu najaribu kujitoa mdogo mdogo nikiwa ndaniKubali matokeo na ujipange kwa mahusiano mengine. Vinginevyo usiruhusu hisia zikakutawala.
Akili inaniambia ivyo ivyo ila moyo ndio shidaAcha ujinga.
Piga chini.
Hahaha hapa tu ndio nimecheka. Vijana mnapoteza muda wenu kwenye maisha sababu ya matunda.shida nyingine ni kuwa nikimuita anipe tunda huwa anakuja bila shida.
Simpi chochote tena uwa anakuja na nauli yake mimi uwa namuongezea tu nikiamuaBaada ya kukupa tunda huwa unampa nini?