Mahusiano ya upande mmoja

Jifunze kut ku force upendwe au umuhimu wako uonekane.
Hiyo ni dalili moja wapo kuwa muhusika hakuhitaji. Lakini kabla ya hapo muite ongea nae kujua tatizo, ila asipokuwa muwazi

Ondoka, nenda unapokubalika
Nilishawai kumuuliza lakini muhusika anasema amna kitu yani yuko sawa
 
Ubaya na uzuri wake mahusiano kuwa mambo yakianza kubadilika utayaona mapema
 
Oooh pole sana , unapitia kipindi kigum kwakwel.Ushaur wangu jitahid kumwelew mpenz wako ili ujue wap Pana changamoto , ukigundua kuwa ana mpango wa kando bas huna budi kufanya maamuzi."sio Kila utakae okota nae kuni ndio utaota nae moto".MOVE ON!
Asante mkuu
 
Shituka wewe mke wa mtu huyo ngoja siku wauni waje wakumulike tochi ndo utajua hujui.
 
Tatizo huna hela. Yaani kwa kifupi hawezi kuishi na mtu kapuku kama wewe.
Nakushauri rudi kijijini kwenu nanjilinji ukatafute mke michosho kama wewe.
 
Move on bro ,ushaona kabisa mtu haeleweki pita hivi...Katika maendeleo ya kitu chochote hatuangaliaga faida moja tunaenda extra nikiunganisha na mahusiano yako usiangalie kupewa tunda tu Kuna muda una shida unahitaji mtu wa kukusaidia unajibiwa SW unaangalia tu hio ni red light usipokuwa makini utapoteza fursa za muhim
 
Hauwezi move on kwa siku moja
Cha msingi wew endelea kupiga hiyo kitu dedli dedli alafu baadae unaanza tu kuona kawaida
Wanawake wanapenda sana kupewa atention kwa sms zako ndefu sana kama
Wewe saivi kausha lazma atakuchek akikuchek muite geto pigilia vizur alafu akiondoka kausha zako tu
Kama ni wako basi atakuwa wako ila kama sio wako elewa enough is enough.
 
Mwanaume hautakiwi kuwa na kimbelembele cha kumtafuta mwanamke kwa sms, piga simu ongea endelea na majukumu. Yeye pia aweza kuwa bize unampotezea muda na sms zako. Weka muda wako mwingi kazini.

Kwani shida yako ni nini?
Mwanaume halilii kupendws, bali heshima. Anakuletea tunda, weka heshima mwanaume usiwaabishr wanaume wenzio. Pia hudumia.

Halafu sasa, acha mwanamke akutafute kwani yeye ndie anaehitaji upendo toka kwako
 
kwan we shida n tunda au nn
we kula tunda akinyamaza nawe nyamaza mbona maisha smpo. unataka kukomplket
 
Umeongea ukweli mkuu
 
Umesema uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…