Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

Jomba Jomba..kesho napo kichapo

Sema fresh kwa kumshauri mwana
Sisi vibonde wetu ni man u na chelsea. Wewe tulishakupiga tukikikosa kibonde hichi tunaenda kutambika
 
ni kweli sijaoa kaka lakini tunaishi wote takribani miaka 6 sasa...hapo kunautofauti gani na mtu alie oa...? harafu wazazi wote wanafahamiana...si ni kama wana ndoa tu hadi tumezaa...kweli
Mkuu...Hakuna ndoa hapo...huo Ni mfano was ndoa.
Wewe Kama muisilamu hujui ndoa inakuwaje?..
Kuishi Miaka 6 hata 30 Kama hamjaoana ..Sio ndoa..
Nahuko kubariki ndoa ndo mnafanyaje yaani?
 
Hakuna kosa kubwa la kusababisha kumuacha, endelea kumvumilia Mambo yatakaa sawa
 

nimefurahi kukuona
Sikukuu njema
 
Huwa nawashangaa sana wanaume waliooa af wanalalamika wananyimwa papuchi..naelewa unaweza kunyimwa one day mama hajiskii lakini in long run bado unakuwa unabaniwa i don't get it..

Japo case yako ni tofauti..wewe hujamuoa
Ukioa utagundua haya yapo,unakuwa na kiu na mwenzako ila yeye harespond kwa namna yoyote ile,yani yuko cold,na nguvu anayotumia kukukataa ni kubwa kiasi cha kwamba hamu inakatika kabisa,kwahiyo usishangae mwanandoa kukaa mwezi mzima bilabila...
 
Hiyo hali hutokea mbona kwa wanawake wengi tu na mtu usipokuwa makini unaweza dhan anachrpuka but chunguza kadri ya uwezo wako utakuja hachepuki

Tiba ni kutafuta wana saikolojia wamjenge kwa muda atarud sawa
 
Mimi nakushauli hivi...mwambie aende nyumbani akapumzike .. yaani Fanya kama unamuacha vile Ila usimuoneshe kama umemuacha halafu usimpigie simu mpaka yeye atakapokutafuta.
Nakupa miez 2 tu, life litampiga na ataludi Kwa heshima zote...Kwa Sasa anakula , kulala na amekuzoea anakuona kama baba kaka vile.
 
Ushauri mzuri huuu

Ila pia tafuta mchepuko piga zako mdogo mdogo kama unamuonea huruma mtoto wako

Pia zungumza nae kama kuna issue yoyote mmalizane maisha magumu jamaa yangu stress za mapenzi hazina nafasi kwasasa
 
huyo mmachame hakupendi.
pia kuna anayemtimizia haja zake ndio maana hana hamu nawe kabisa.
Stuka huyo mmachame ana mwanaume ,
 
Hisia zikishapotea hata ufanye nini unapoteza muda tu huyo anakuvumilia tu ila huenda hata akikuona anatamani ungebaki huko unamkera sana tu. Mkuu anza kujiandaa kisaikolojia
 
ubaya ni kuwa mimi ndie ninae ishi kwake...hivyo itanilazimu kuondoka bila shaka...na ndio uamuzi wangu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…