Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme
Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.
MATUKIO FIKIRISHI
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?
- Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
- Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
- Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
My Take:
- CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
- Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
- CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
- Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
- Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii
CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
Ukienda konokononi nawe kuwa konokono!!!Kuna msemo usemao ukifika Roma fanya kama wafanyavyo wa Roma,imekwisha hio na hakuna kupinga
Hii inaonyesha kitengo cha kudhibiti uvujishaji Siri kimeimarishwa vilivyo kama tutakubaliana na mleta mada kuwa kulikuwa na maandalizi ya tukio hili siku kadhaa kabla ya Tangazo la Katibu Mkuu.Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
Kwa hiyo HARAMBEE EVENT was a top knotch?Hii inaonyesha kitengo cha kudhibiti uvujishaji Siri kimeimarishwa vilivyo kama tutakubaliana na mleta mada kuwa kulikuwa na maandalizi ya tukio hili siku kadhaa kabla ya Tangazo la Katibu Mkuu.
Maswali yako magumu sana, lakini usishangae kupewa majibu mepesi na ya kushangaza.Kwa hiyo HARAMBEE EVENT was a top knotch?
For what interest? Maslahi gani yanalindwa hapo?
Bila waTanganyika kuamka, tutapata tabu sana. wala nchi ni wachache wanawakandamiza wenye nchi ambao ni wengi.Maswali yako magumu sana, lakini usishangae kupewe majibu mepesi na ya kushangaza.
... Mwana wa makumazaniWrite your reply...kila mtu anashabikia kitu kinachompa maslahi kimaisha tambua kutafuta ridhiziki ni vita isio kwisha kila siku ni mapambano ya jasho na damu hivyo huwezi kumzuia mtu asifanye kile kinachompa ridhiki iwe halali au dhuruma
Ccm ikumbuke tulikotoka mbona heshima ya chama inazidi kuporomoka? Hivi hao wachangiaji ni wanachama wanoijua itikadi ya chama?Hatua ya Kwanza