GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyumba haina mwenyewe mawazo ya mtu mmoja yanaiongoza taasisi bila kuwaza haya tunayo yaona leo km aibu

Nb. Ccm imeungana na wezi kutuibia
 
Maana nyingine ya kuchangiwa na watu wale inaashiria kuwa Serikali ijayo itamilikiwa na waliochanga ili kuiwezesha irudi madarakani...

Serikali itakuwa haina sauti juu ya kundi hilo dogo la watoa 'mpunga'
 
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme

Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.

MATUKIO FIKIRISHI
  1. Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
  2. Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
  3. Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?

My Take:
  1. CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
  2. Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
  3. CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
  4. Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
  5. Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii

CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.

Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.

Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.

Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Mshana Jr mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.

Fanyeni matanga ya msiba wa CHADEMA ila tarehe 29/Oktaba muanue tanga
 
Bado kutembea na birthday suit tu sasa.

Mmeshapoteza mwelekeo. Watu wawili wanawalaza na viatu hadi mnapagawa
 
Jibu la maswali ni moja tuuh.
HICHO NI CHAMA PENDWA hata wakisema Sasa ivi waanze kukufata hapo ulipo huyo uliye lala nae ndo atakuchoma....
Siku zote shetani hutafuta watu ili aharibu na kuchinja.

Unawaza mnanifikiaje mnidhuru. Not in JF never. Mmeshapoteza uhalali mmesalia kuteka, kufira na kuua
 
Ni usanii tu unafanywa sawa tu na ile ya DP World. Hakuna watu walioichangia ccm hizo hela ila wametumiwa kuhalalisha uovu kwa pesa za umma kupitishiwa kwao.

Ccm inapora mabilioni ya fedha za umma huku watanzania wakizidi kushamiri kwa umaskini, watoto wao wakisoma kwenye shule zenye magofu huku waganga wa kienyeji wakiua sekta ya afya kwa sababu hospitali zimebaki majina tu bila tiba yoyote ya maana.

Mabarabara yakibaki na makorongo yanayoweza kufukia kabisa tembo mzima huku maji yanayonywewa na watanzania yakiwa hayawezi hata kunywewa na nguruwe wa Ulaya au Marekani lkn ndio watu wanakwapua mabilioni eti kupeleka kwenye "uchaguzi" ambao hata hautakuwepo..😲😲😲😲

It's very pitiable but not in so distant future some people will be brought to account for these misdeeds to which they will gnash their teeth and cry with great pain and the whole world will be there watching in disbelief.
 
Maana nyingine ya kuvhangiwa na watu wale inaashiria kuwa Serikali ijayo itamilikiwa na waliochanga ilinkuiwezesha irudi madarakani...

Serikali itakuwa haina sauti juu ya kundi hilo dogo la watoa 'mpunga'
Kuna mwanasiasa aliwahi kusema kuwa anahitaji mamilione/bilionea 100 kuifanya nchi ipae kiuchumi. Sina hakika kama nimemnukuu sawa sawa lakini nakumbuka kiliwahi kusemwa kitu cha namna hiyo na mwanasiasa.

Sasa, je ni wakati sahihi Sasa kujaribu modeli hiyo iliyopendekezwa wakati huo?
 
Siku zote shetani hutafuta watu ili aharibu na kuchinja.

Unawaza mnanifikiaje mnidhuru. Not in JF never. Mmeshapoteza uhalali mmesalia kuteka, kufira na kuua
Basi usihoji hoji kama hauna chakupoteza.
 
Kuna mwanasiasa aliwahi kusema kuwa anahitaji mamilione/bilionea 100 kuifanya nchi ipae kiuchumi. Sina hakika kama nimemnukuu sawa sawa lakini nakumbuka kiliwahi kusemwa kitu cha namna hiyo na mwanasiasa.

Sasa, je ni wakati sahihi Sasa kujaribu modeli hiyo iliyopendekezwa wakati huo?
Na wewe ukamuamini?
 
Mlifanya makosa makubwa kumpa Tundu UWENYEKITI wa CHADEMA na Heche maana wale wote 2 ni vichwa maji. Hakuna mwenye utulivu wa akili ambaye angeweza kumshauri vinginevyo mwenzie. Nawaona kama majuha. Walishindwa kuusoma mchezo wa Samia.

Lissu anaropoka kuanzisha uasi mwezi April 2025 na baada ya mwezi 1 anakamatwa na kuwekwa ndani.

Mwezi mmoja baadaye Msajili wa vyama anaitisha kikao cha kusaini kanuni za maadili, naye Heche anagoma KUSAINI. Tundu kachonga jeneza la CHADEMA na Heche kapigilia misumari.

Wenzenu wanakwenda kwenye uchaguzi nyinyi CHADEMA mnakwenda Mahakamani. Wenzenu wanafanya fundraising nyinyi akina Mshana Jr mnakesha kuandika nyuzi za kuponda.

Fanyeni matanga ya msiba wa CHADEMA ila tarehe 29/Oktaba muanue tanga
Mh Lissu ndiye amefanya watu wajue rangi halisi za matapeli na wapinzani fake.
 
Bado kutembea na birthday suit tu sasa.

Mmeshapoteza mwelekeo. Watu wawili wanawalaza na viatu hadi mnapagawa
Mtu yuko Ukonga ananyea ndoo ndiyo amlaze nani na viatu?? Bavicha sijui mnajitoa vipi akili
 
Unaniamrisha kwa lengo gani?
Amka kutoka usingizini. Tanzania siyo mali ya dola na watawala
Tanzania ni mali ya Watanzania wote ila dola na watawala ndiyo wameaminiwa kutusimamia . Kaa kwa kutulia
 
Mh Lissu ndiye amefanya watu wajue rangi halisi za matapeli na wapinzani fake.
Yuko wapi sasa? Mnshabikia ujinga naye anaingia kingi. Alijifanya Mandela kumbe Mandela wa kuchonga kutoka Ikungi. Mandela miaka 27 jela, yeye hata miezi 5 bado ila kila akija kizimbami analialia tu
 
Yuko wapi sasa? Mnshabikia ujinga naye anaingia kingi. Alijifanya Mandela kumbe Mandela wa kuchonga kutoka Ikungi. Mandela miaka 27 jela, yeye hata miezi 5 bado ila kila akija kizimbami analialia tu
Mh Lissu aendelee kushikilia hapo hapo mpaka akili zenu zikae sawa. Ukombozi halisi ni kitu kinachohitaji muda na kujitoa sana maana utakuta na watu wa kila aina, mmojawapo ni watu kama wewe
 
Back
Top Bottom