Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
- Thread starter
- #61
Blaah blaah ķama jina lako linavyosawiriChama tawala CCM kitaendelea kuskiliza sauti na maoni ya wanachama wake na kutimiza matakwa ya wanachama wake kadiri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na kiu yao ya kukichangia chama chao mabilioni ya pesa, bila kujali makasiriko ya wadau wa JF au vibaka na matapeli wa vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na huyu Msanii jina. Usafi, uhalali na usalama wa michango ya wana CCM na wadau wa CCM ni wa kiwango cha kimataifa, usio na shaka yoyote.
CCM ni chama cha waTanzania wote na chochote ambacho CCM inafanya ni kwa maslahi mapana ya wananchi wote. Na kama taifa, tuna kila sababu kujivunia uwepo wa chama hiki makini sana, na kwa wivu mkubwa lazima tukitetete kwa hali na mali dhidi ya vibaraka wa mabeberu ya magharibi ambao baadhi yao wameanza kushikishwa adabu kwa mujibu wa sheria kwasabb za uropokaji na upotoshaji kama anavyojaribu kufanya mtoa hoja.
Ni muhimu kua wazalendo, na kujitenga kabisa na upotoshaji wa kilofa kwa maslahi binafsi kama afanyavyo Msanii aliepoteza uelekeo na amebaki na wivu tu moyoni.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hebu do the needfull utufafanulie termino
Nilishasema kwenye moja ya nyuzi zangu kuwa. Hali ilipofikia sasa watawala wamefungwa kauli ktk ndimi zao. Usidhangae watekaji wanavyojianika peupe.Chama kinafuata watu tena?
Wala hana hofu maana anaamini yupo sahihi kuteka na kuua. Kinga anayo kisheria