Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi.
Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua.
Kuigiza kwamba mnazisikiliza wakati mnazijua ni kujitia aibu na kuwadharau Wananchi waliowaa Dhamana ya kuwaongoza.
Ktk Matemebezia ya Aliyekuwa katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda aliibua visanga vingi vilivyohusiana na Wizi wa mali za umma, matumizi mabaya ya ofisi za uma, unyanyasaji dhidi ya wananchi na kuporwa haki mbali mbali za Wanajamii ktk mikoa na wilaya mbali mbali. Wakti huo huo Mikoa hiyo na halmashauri hizo zinaongozwa na makada wa Chama cha CCM kuanzia juu hadi chini. Matatizo wanayaona na pengine wananufaika nayo ndio maana hawana muda wa kuyatatua.
Sasa tunamuuliza huyu Nguli na Jabali la Siasa Dr Nchimbi kuwa hayo maigizo ataacha lini na kuanza kutekeleza au kuyatatua?
Kipi asichokijua kuhusu Shida na kero za Watanzania.
Kwanini asiache kupoteza pesa na muda na kuelekeza Bajeti ya matembezi kwenye kuokoa na kutatua kero moja moja?
Ktk Ngazi mbali mbali kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa halmashauriz kuna DAS na Kadha wa kadha.
Utawaona wanajifanya wako serious kusikiliza na vinote book wakiondoka hapo ndio nitolee......imeisha hiyo.
Hailete maana( make sense) Katibu Mkuu na Mwenezi kutembea mikoa yote na kutumia bajeti kubwa mathalani milioni 200 kwenda kutazama kisima cha maji cha milioni tano.