Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi.

Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua.

Kuigiza kwamba mnazisikiliza wakati mnazijua ni kujitia aibu na kuwadharau Wananchi waliowaa Dhamana ya kuwaongoza.

Ktk Matemebezia ya Aliyekuwa katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda aliibua visanga vingi vilivyohusiana na Wizi wa mali za umma, matumizi mabaya ya ofisi za uma, unyanyasaji dhidi ya wananchi na kuporwa haki mbali mbali za Wanajamii ktk mikoa na wilaya mbali mbali. Wakti huo huo Mikoa hiyo na halmashauri hizo zinaongozwa na makada wa Chama cha CCM kuanzia juu hadi chini. Matatizo wanayaona na pengine wananufaika nayo ndio maana hawana muda wa kuyatatua.

Sasa tunamuuliza huyu Nguli na Jabali la Siasa Dr Nchimbi kuwa hayo maigizo ataacha lini na kuanza kutekeleza au kuyatatua?

Kipi asichokijua kuhusu Shida na kero za Watanzania.

Kwanini asiache kupoteza pesa na muda na kuelekeza Bajeti ya matembezi kwenye kuokoa na kutatua kero moja moja?

Ktk Ngazi mbali mbali kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa halmashauriz kuna DAS na Kadha wa kadha.

IMG-20240530-WA0033.jpg

Utawaona wanajifanya wako serious kusikiliza na vinote book wakiondoka hapo ndio nitolee......imeisha hiyo.

Hailete maana( make sense) Katibu Mkuu na Mwenezi kutembea mikoa yote na kutumia bajeti kubwa mathalani milioni 200 kwenda kutazama kisima cha maji cha milioni tano.
 
View attachment 3004547

Huruma sana........kopi endi pesti.......ila orijino itabaki tu kua orijino
 
Nchi ni mfumo, si watu, mifumo ndio inatatua kero, ulishasikia Rais wa Marekani anazurura kutatua migogoro ya mke na mume, au ya ardhi? Mifumo inatakiwa ifanye kazi, na nchimbi, kama kiongozi wa chama anatakiwa awasilishe kero kwenye mifumo ya nchi, ili utatuzi upate nguvu ya kisheria.

Makonda ni bwege tu, na katika mfumo sahihi hatakiwi kuwa hata mtendaji wa mtaa.
 
Nchi ni mfumo, si watu, mifumo ndio inatatua kero, ulishasikia Rais wa Marekani anazurura kutatua migogoro ya mke na mume, au ya ardhi? Mifumo inatakiwa ifanye kazi, na nchimbi, kama kiongozi wa chama anatakiwa awasilishe kero kwenye mifumo ya nchi, ili utatuzi upate nguvu ya kisheria
Kero gani hazijulikani chini ya ccm hii?
 
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi.

Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua.

Kuigiza kwamba mnazisikiliza wakati mnazijua ni kujitia aibu na kuwadharau Wananchi waliowaa Dhamana ya kuwaongoza.

Ktk Matemebezia ya Aliyekuwa katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda aliibua visanga vingi vilivyohusiana na Wizi wa mali za umma, matumizi mabaya ya ofisi za uma, unyanyasaji dhidi ya wananchi na kuporwa haki mbali mbali za Wanajamii ktk mikoa na wilaya mbali mbali. Wakti huo huo Mikoa hiyo na halmashauri hizo zinaongozwa na makada wa Chama cha CCM kuanzia juu hadi chini. Matatizo wanayaona na pengine wananufaika nayo ndio maana hawana muda wa kuyatatua.

Sasa tunamuuliza huyu Nguli na Jabali la Siasa Dr Nchimbi kuwa hayo maigizo ataacha lini na kuanza kutekeleza au kuyatatua?

Kipi asichokijua kuhusu Shida na kero za Watanzania.

Kwanini asiache kupoteza pesa na muda na kuelekeza Bajeti ya matembezi kwenye kuokoa na kutatua kero moja moja?

Ktk Ngazi mbali mbali kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa halmashauriz kuna DAS na Kadha wa kadha.

View attachment 3004547
Utawaona wanajifanya wako serious kusikiliza na vinote book wakiondoka hapo ndio nitolee......imeisha hiyo.

Hailete maana( make sense) Katibu Mkuu na Mwenezi kutembea mikoa yote na kutumia bajeti kubwa mathalani milioni 200 kwenda kutazama kisima cha maji cha milioni tano.
haya yote yanaletwa na notion kuwa watanzania by 99.999999999999999999999999999% ni wajinga, mazuzu
 
Nchimbi ni total failure kwenye hiyo nafasi bora alivyokuwa Chongolo. Kuchamba kwingi kubaki na mavi matakoni,hizi teua tongue za Samia zinakimaliza chama.
 
Hizi siasa za aina hii sio za Nchimbi. Baada ya uongozi wa Magufuli mambo mengi yamebadilika sana kwenye siasa. Style zake za siasa zimebadili mfumo mzima. Ni ngumu sana kuwarudisha wananchi kwenye zile siasa za awamu ya 4 za maneno matupu.
 
Nchi ni mfumo, si watu, mifumo ndio inatatua kero, ulishasikia Rais wa Marekani anazurura kutatua migogoro ya mke na mume, au ya ardhi? Mifumo inatakiwa ifanye kazi, na nchimbi, kama kiongozi wa chama anatakiwa awasilishe kero kwenye mifumo ya nchi, ili utatuzi upate nguvu ya kisheria.

Makonda ni bwege tu, na katika mfumo sahihi hatakiwi kuwa hata mtendaji wa mtaa.
Sijui Makonda aliwafanya nini huko nyuma!?, thread inamuhusu Nchimbi umeshakimbilia kwa Makonda, wewe ndo Nchimbi mwenyewe nini umeona umefunikwa!?
 
Hizi siasa za aina hii sio za Nchimbi. Baada ya uongozi wa Magufuli mambo mengi yamebadilika sana kwenye siasa. Style zake za siasa zimebadili mfumo mzima. Ni ngumu sana kuwarudisha wananchi kwenye zile siasa za awamu ya 4 za maneno matupu.
Kuna jamaa wanamponda kwa siasa zake ila ukweli ni kwamba hizo ndo ambazo wananchi wanazielewa kwa sasa
 
Back
Top Bottom