Gentleman,Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo.
Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl.
View attachment 3334671
Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
Aisee!!Gentleman,
huoni kwamba wewe ndie ulietumia na kupoteza muda na nguvu nyingi kutazama, kutathimini na hatimae kwa utashi na bando la gharama yako mwenye ukaandika uzi humu JF?
si ungetumia muda, nguvu na gharama ulizopoteza, kuwekeza na kufanya shughuli zako za maana za kujiingizia kipato kuliko kuleta dhihaka kwenye kazi za sanaa za wasanii?🐒
relax 🐒Aisee!!
Kumbe unaongeaga pointGentleman,
huoni kwamba wewe ndie ulietumia na kupoteza muda na nguvu nyingi kutazama, kutathimini na hatimae kwa utashi na bando la gharama yako mwenye ukaandika uzi humu JF?
si ungetumia muda, nguvu na gharama ulizopoteza, kuwekeza na kufanya shughuli zako za maana za kujiingizia kipato kuliko kuleta dhihaka kwenye kazi za sanaa za wasanii?🐒
relax gentleman 🐒Kumbe unaongeaga point
Hapa narelax gentleman ila kwenye siasa bado badilika pia au unategemea kujipatia mlo wa sikurelax gentleman 🐒
Sio ubinifu tu na ku-force pia force jambo mpaka uelewekeBila ubunifu hapa Bongo utakula elimu yako...