Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo.
Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl.
Your browser is not able to display this video.

Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
 
Gentleman,
huoni kwamba wewe ndie ulietumia na kupoteza muda na nguvu nyingi kutazama, kutathimini na hatimae kwa utashi na bando la gharama yako mwenye ukaandika uzi humu JF?

si ungetumia muda, nguvu na gharama ulizopoteza, kuwekeza na kufanya shughuli zako za maana za kujiingizia kipato kuliko kuleta dhihaka kwenye kazi za sanaa za wasanii?πŸ’
 
Aisee!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe unaongeaga point
 
Dume zima unaweka kalio.sofani kuangalia bongo muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…