Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
1,145
Reaction score
2,218
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.

Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa tu, byee
 
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.

Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa tu, byee
View attachment 3315715

Hizi ndiyo Habari ambazo waTanzania Wanapenda Sana kuzifuatilia, huku wakiyaacha mambo ya msingi yakijiendea yenyewe na kusababisha nchi kwenda mrama!
 
Tatizo watu washakariri kitu kidogo itakuwa huyu ni hv mara vile,

Urafiki ni kujaliana kwenye kila jambo kadri ya mnavyoishi,

wanaume wangapi wanalia lkn utaambiwa jikaze, ni ile kumtia mtu moyo na kumfanya aone nina watu na sio kiatu,

Mai martha ana tatizo, Bora Mange analeta habari kamili
 
Hizi ndiyo Habari ambazo waTanzania Wanapenda Sana kuzifuatilia, huku wakiyaacha mambo ya msingi yakijiendea yenyewe na kusababisha nchi kwenda mrama!
Bora lipi.

Kufuatilia habari za Jux kufutwa makamasi au ufuatilie Kesi ya Lissu, ukamatwe Kisha ukatupwe Mabwepande baada ya kuingizwa magunzi Njia ya haja kubwa...
 
Back
Top Bottom