Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.

Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa tu, byee
View attachment 3315715
Tushaelewa, Jux hana mbegu kama mwanamme....hivyo anadinywa na mke wa P. Diddy wakisaidiana kuinuana. Ni kama vile tu yale masuala ya Martha Mwaiapaja na kale kabinti kake. Nafikiri wakubwa wenzangu mnanielewa.
 
Mwamba unaonesha unapenda sana haya Mambo nawe ni muhumini sana
 
Nchi imeenda mrama halafu wewe uko kwenye keyboard? Nani atawafuatilia wanasiasa matapeli kama Braza K na Mdudu? Nenda Sudani ndio utajua maana ya nchi kwenda mrama.
Ila watu wa ccm hamnaga akili yan nchi kwenda mrama nyie mnajua nihadi kue navita,
 
Hapana, watu kibao wanajuwa mambo yao sema tu wewe hujuwi.
Hao watu nikinani mbona Mimi nilikuwa nasikia kipindi kile kila mali ni Ridhiwani Kikwete tunassikia na anamiliki vituo vya mafuta mara kila kampuni ni ya kwake
 
Back
Top Bottom