cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Uwanja washapewa, shida ni nyie waja ndo mnapovukwa, ila serikali walaaa.Serikali iwarahisishie tu iwape uwanja wao tu waache kuwa wanafki
Ova
Uwanja washapewa, shida ni nyie waja ndo mnapovukwa, ila serikali walaaa.Serikali iwarahisishie tu iwape uwanja wao tu waache kuwa wanafki
Ova
Kweli nmekubali serikali ya saa100 iko kimyaaaUwanja washapewa, shida ni nyie waja ndo mnapovukwa, ila serikali walaaa.
Serikali zote bhana, acha kumsimgizia mama wa watu, kwa hili namtetea.Kweli nmekubali serikali ya saa100 iko kimyaaa
Ahh Acha wakulane tu
Ova
Siyo mikono, ukatwe kinachokupeleka huko.Jana nilifatilia uzi wa picha za warembo..
Naapa mkiona naenda tena kule nikateni mikono
Uganda hakuna upuz kama wa huku kwetuSerikali zote bhana, acha kumsimgizia mama wa watu, kwa hili namtetea.
Ila malema ana support 🌈Yaani Jiwe angekuwa hai, Julius Malema angekuwa rais wa Afrika Kusini na huyu mwamba wa Bukina Faso, kwa vichwa hovyo pamoja wazungu wangetujua na wangeshika adabu zao.
Ule uzi huwa naufatilia nikitoka kupiga nyapu lasivyo kujilipua ni swala la dkk tu[emoji1787]Jana nilifatilia uzi wa picha za warembo..
Naapa mkiona naenda tena kule nikateni mikono
Duh!Hao wote Versatile. 😂😂😂😂
Nn?Duh!
Mbona upo jamani, tuweni wa kweli.Uganda hakuna upuz kama wa huku kwetu
Ova
Daaah mkuu ile siku nusu nife maana ilikua kasheshe aiseeee 🙌Ule uzi huwa naufatilia nikitoka kupiga nyapu lasivyo kujilipua ni swala la dkk tu[emoji1787]
Unaweza kata moto kabisa😂😂😂Ule uzi huwa naufatilia nikitoka kupiga nyapu lasivyo kujilipua ni swala la dkk tu[emoji1787]
Bora lipi.
Kufuatilia habari za Jux kufutwa makamasi au ufuatilie Kesi ya Lissu, ukamatwe Kisha ukatupwe Mabwepande baada ya kuingizwa magunzi Njia ya haja kubwa...
Hasiseme uongo yeye kawa BikiraaaNa ni kweli aisee mai hasemagi uongo
Ni kweli hata huyo dogo uliyemtaja anahusika na madudu mengi tu hapa nchini.Hao watu nikinani mbona Mimi nilikuwa nasikia kipindi kile kila mali ni Ridhiwani Kikwete tunassikia na anamiliki vituo vya mafuta mara kila kampuni ni ya kwake