Nimejicomentia tuKwamba unataka kusema😊
🤣🤣🤣 daah samahani mkuu kumbe vizibo mpo kweliUsifananishe vizibo na vitu vya kijinga
Unaona sura ya Jux hapo kijana?Sawa Jux naona unejibu sasa😄
Nipo ndgu yanguUpo mkuu
😂🤣🤣🤣 daah samahani mkuu kumbe vizibo mpo kweli
Hao wote Versatile. 😂😂😂😂kwamba kuna top na bottom? bongo kazi sana kufanya kazi.
😂😂😂😂Nilipie kodi basi my ili niache umbea
Kengeeee......Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.
Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa tu, byee
View attachment 3315715
Vingunguti presdantNipo ndgu yangu
007 tamka (dabo ziro seveni)Vingunguti presdant
Hiyo team iliyoenda huko naijaHao wote Versatile. 😂😂😂😂
😂😂😂😂 hatariiiiHiyo team iliyoenda huko naija
Mapunga kibao
Ila naona wanazidi kuwa inspire vijana 😄
Ova
Serikali iwarahisishie tu iwape uwanja wao tu waache kuwa wanafki😂😂😂😂 hatariiii