Tukikukata mikono utafungua na miguuJana nilifatilia uzi wa picha za warembo..
Naapa mkiona naenda tena kule nikateni mikono
Upo mkuuWewe na shoga yako Maimartha nyote ni vizibo
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi๐๐๐๐ผ.
Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa tu, byee
View attachment 3315715
Kwann wakati ndo uzi pendwa kwa wanaume woteJana nilifatilia uzi wa picha za warembo..
Naapa mkiona naenda tena kule nikateni mikono
Mkuu yaani acha tuu nilijikuta naji screenshotKwann wakati ndo uzi pendwa kwa wanaume wote
Huyu mama kutwa kubwabwaja mitandaoni, kifupi tu ana changamoto ya Afya ya akili.Mtafutieni huyu mama kazi yakufanya
Bora lipi.Hizi ndiyo Habari ambazo waTanzania Wanapenda Sana kuzifuatilia, huku wakiyaacha mambo ya msingi yakijiendea yenyewe na kusababisha nchi kwenda mrama!