Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Lisemwalo lipo...hapo hata km kaweka bado hajanishawishi kitu...

Izi mambo zinfanywa Fanya mahospital, unamwaga mpunga basi unaandikwa ndivyo sivyo !!!.
 
Mara ya mwisho nipo knyama hakuwa na kope hata moja..VP siku hizi zimeota!?
 
UMESEMA MKUUUU ...ALAFU HAYO SITUNAYAONA.
 
Maimartha ni mkubwa kwangu sanaaa nakumbuka waktinwa ule wanatangaza ule mchezo wa bahati nasibu mie nilikua primary yy akiwa mdada how come mm ni 30+ yy bado awe hapo???
 
Alafu uchaguzi Wa maneno alotumia bado unanipa wasi tuuu.....

*sasa* .....*sasa* ...as if izo romance zimeanza Leo teheeee teheeeee...


Jaman jaman ,,mnasema ngoma nikm malaria ,,achen kuzenguaaaa ,,Ona MTU anavyotumia nguvu kubwa kuwaaminisha kua hana !!!!..
Achen ngoma iitwe ngoma.
 
Daaaah maimartha nilianza kumsikiliza enzi zile channel 5 akiwa na beni kinyaiya mi bado nilikuwa sekondari hahah eti Leo tuna umri unaokaribiana hahahahahah daaah

Mastaaa bhana
 
Kweli kabisa dunia imekwisha, watu wanapunguza umri waziwazi, maimartha huyu alikuwa anatangaza kipindi na Ben kinyaiya mimi niko primary eti leo hii nimemzidi umri[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]
 
Wakati ule EATV inaitwa ITV 2 alikuwa na miaka mingapi wakati wanatangaza kipindi cha bolingo yeye na kinyaiya hadi leo awe ana miaka 29!
Inashangaza..........
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±
 
Hahaaaaaaa soon utampita Mwenzio atabaki hapo hapo
 
Maimartha ni mkubwa kwangu sanaaa nakumbuka waktinwa ule wanatangaza ule mchezo wa bahati nasibu mie nilikua primary yy akiwa mdada how come mm ni 30+ yy bado awe hapo???
Jackpot bingo pamoja na monalisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…