DICKSON ZAKWA
Member
- Sep 2, 2017
- 49
- 70
Ila we dada tangu nimeanza kukuona nakuzimia sana,naipenda hiyo sura yako,soft skin na hilo cheko.Liyumba si alipita, hamna negative wala nini. Anajifariji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila we dada tangu nimeanza kukuona nakuzimia sana,naipenda hiyo sura yako,soft skin na hilo cheko.Liyumba si alipita, hamna negative wala nini. Anajifariji tu.
Lisemwalo lipo...hapo hata km kaweka bado hajanishawishi kitu...View attachment 613870
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika
View attachment 613873
Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
Mara ya mwisho nipo knyama hakuwa na kope hata moja..VP siku hizi zimeota!?Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
UMESEMA MKUUUU ...ALAFU HAYO SITUNAYAONA.Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Maimartha ni mkubwa kwangu sanaaa nakumbuka waktinwa ule wanatangaza ule mchezo wa bahati nasibu mie nilikua primary yy akiwa mdada how come mm ni 30+ yy bado awe hapo???Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Kweli kabisa dunia imekwisha, watu wanapunguza umri waziwazi, maimartha huyu alikuwa anatangaza kipindi na Ben kinyaiya mimi niko primary eti leo hii nimemzidi umri[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
ukidanganya umri hata majibu ya VVU/UKIMWI umedanganya..View attachment 613870
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika
View attachment 613873
Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
1998 iyo jackpot bingo nakumbukaEnzi za Jackpot bingo
😀😀😀😀😱😱😱Nilimuona huyu Bibi kwa Mara ya mwisho maeneo ya mabibo karibu na chuo cha NIT ( National Institute of Transport) akiwa kwenye gari ikifanya promo' ya kinywaji flani hiv,japo nilikuwa mdogo na nilikuwa nasoma STD VII,nilimshangaa kwa kuwa nilikuwa nikimuona kwenye TV,niligundua kuwa anamagego...,sasa nimehtim chuo kikuu na bado mwonekano wake ni uleule na miaka yake ni ileile
Hatar sana!
Hahaaaaaaa soon utampita Mwenzio atabaki hapo hapoMwaka 2012 Lulu alikuwa na miaka 18 {bado kulikuwa na utata wa umri wake} leo hii ni miaka mitano imepita ambapo Lulu kwahivi sasa anakadiriwa kufika miaka 23 sikatai. Sasa tulinganishe baadhi ya vitu baina ya Maimartha na Lulu;
1. Lulu anaonekana hata magego bado hajaota / Maimartha ameshang'oa
2. Sura ya Lulu bado ni ya mid 20s / Maimartha sura yake ni ya below 40
Ndio kweli Maimartha na Lulu wawe wamepishana miaka 4?[emoji15] [emoji15]
3. Sura ya Lulu inakaa poda / Ya Maimartha inalazimishwa tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] Aisee
Yote kumi lakini tisa, kipindi niko shule namkumbuka Maimartha akiwa tayari anatangaza Eatv, ni miaka 12 tangu nimalize shule, leo hii mimi ni 30+ yeye bado yuko 29[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa anahesabu kwa kutumia miaka ya Kabla Kristu (KK)[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]