Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Hiki kibibi mm nakua nakikuta kitangazaji leo kina 29
Daaaah maimartha nilianza kumsikiliza enzi zile channel 5 akiwa na beni kinyaiya mi bado nilikuwa sekondari hahah eti Leo tuna umri unaokaribiana hahahahahah daaah
Mastaaa bhana
Jamani toka na msikia mai mpaka leo ana29 kweli umli ulifika sehemu ukastop maana nimezoom mala 10 niyalidhishe macho
Hapo hapo Kwenye date of birth kibongo bongo Ndio tunajaziwagwa umri,
Miafrika Ndio tulivyo.
Aisee labda ni kwa kuwa sijawahi kupima HIV maana hata form zake sijui wanazijaza vipi mimi naona hapo kwenye date of birth ndo kuna 29 kwa maana ya tarehe ya kuzaliwa!!!! sasa hiyo miaka mnayosema ana 29 ni wapi mmesoma nyie?
Hakika inashangaza sana Mkuu...Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Huyu Maimartha mpumbavu sana...Hahahaaa....hiyo 29 iko kwenye date of birth...ambayo ni tarehe ya kuzaliwa. Umri ni age. Sijaona age hapo.
Sasa hawa wanaosema kuwa hiyo 29 ndo umri wake ni hawajaelewa au?
Hahahaaa daaah kaazi kweli kweli.
Hiyo 29 walimaanisha kutudanganya umri...Wapi panaposema umri wake ni miaka 29?
Kwa hiyo anataka kutuambia 1998 akiwa jackpot alikuwa na miaka10.1998 iyo jackpot bingo nakumbuka
Hahahaaa....hiyo 29 iko kwenye date of birth...ambayo ni tarehe ya kuzaliwa. Umri ni age. Sijaona age hapo.
Sasa hawa wanaosema kuwa hiyo 29 ndo umri wake ni hawajaelewa au?
Hahahaaa daaah kaazi kweli kweli.
Miaka 29 wapi bi kizee huyu....View attachment 613870
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika
View attachment 613873
Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
Nikikwambia uthibitishe UNAWEZA au unabuni tu??Wewe jamaa kila post upo!!
Anaficha umri huyo,hana umri huo labda 39View attachment 613870
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika
View attachment 613873
Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
Kipindi hicho mm sijajua mademu nakumbuka alikuwa anatoka na mshikaji mmoja anajiita P Diddy,halafu leo anatuongopea ety ana miaka 29?29 my foot!
Yaan mi kipindi sijui hata nini maana ya Kwichi kwichi namuona na Kinyaiya EATv wanazingua na kikongo chao! Chaaa