Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.

Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.

Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.

Wapi kasema ana miaka 29?
 
Daaaah maimartha nilianza kumsikiliza enzi zile channel 5 akiwa na beni kinyaiya mi bado nilikuwa sekondari hahah eti Leo tuna umri unaokaribiana hahahahahah daaah

Mastaaa bhana

Kuna sehemu hapo kwenye hiyo fomu panapotaja umri wake?
 
Aisee labda ni kwa kuwa sijawahi kupima HIV maana hata form zake sijui wanazijaza vipi mimi naona hapo kwenye date of birth ndo kuna 29 kwa maana ya tarehe ya kuzaliwa!!!! sasa hiyo miaka mnayosema ana 29 ni wapi mmesoma nyie?
 
Lakini kama ndo wanajaza hizo huko kwenye vituo vya Afya kwenye date of birth wanaweka umri huyo dada umri wake ni mkubwa sana,

maana miaka ya 2000 nimeanza kumuona kwenye kipindi kimoja hivi EATV sikikumbuki kipindi kama sikosei mpaka sasa ni miaka 17 ina maana ameanza utangazaji akiwa na umri gan?
 
Hapo hapo Kwenye date of birth kibongo bongo Ndio tunajaziwagwa umri,
Miafrika Ndio tulivyo.

Duuuh!

Hahahaaaa haya bana!

Date of birth = tarehe ya kuzaliwa.

Age = umri.

Ila kibongo bongo tarehe ya kuzaliwa ndo umri?

Scratchin' my head.

Thanks for the 411, though😀.
 
Aisee labda ni kwa kuwa sijawahi kupima HIV maana hata form zake sijui wanazijaza vipi mimi naona hapo kwenye date of birth ndo kuna 29 kwa maana ya tarehe ya kuzaliwa!!!! sasa hiyo miaka mnayosema ana 29 ni wapi mmesoma nyie?

Unajua nimecheka sana nilipoona hapo kwenye tarehe ya kuzaliwa.

Mimi nimeelewa kuwa kazaliwa tarehe 29....ambayo yaweza kuwa ya mwezi wowote na mwaka wowote wa nyuma.

Sijaona kabisa palipotaja umri wake ila kumbe kibongo bongo 'date of birth' ndo umri😀.
 
Hahahaaa....hiyo 29 iko kwenye date of birth...ambayo ni tarehe ya kuzaliwa. Umri ni age. Sijaona age hapo.

Sasa hawa wanaosema kuwa hiyo 29 ndo umri wake ni hawajaelewa au?

Hahahaaa daaah kaazi kweli kweli.
Huyu Maimartha mpumbavu sana...

Sasa kwanini kaamua kuudanganya uma..

Au vyeti vya UKIMWI ndo vya kikilaza namna hiyo...
 
Wapi panaposema umri wake ni miaka 29?
Hiyo 29 walimaanisha kutudanganya umri...

Ila kwa vile lugha hawajui wakaweka pasipo.

Ila huyu ni ajuza..

Haiwezekani wadogo zangu mimi wako sekondaru huyu kazi alishaanza...wamemaliza wameolewa wako 30+ yeye awe hapo...
 
Hahahaaa....hiyo 29 iko kwenye date of birth...ambayo ni tarehe ya kuzaliwa. Umri ni age. Sijaona age hapo.

Sasa hawa wanaosema kuwa hiyo 29 ndo umri wake ni hawajaelewa au?

Hahahaaa daaah kaazi kweli kweli.

True.

Ila huyo mwanamke ni mkubwa sana. Hawezi akapungua 40+ years old.

Japo, umri wake siyo issue maana haandikishwi shule.
 
Back
Top Bottom