Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Ni kweli kabisa, kwenye maisha huenda wanaoenjoy to the maximum ni wale wenye kipato cha kati. Ukiwa huna kitu kabisa life becomes a mess vivyo hivyo na ukiwa nacho.

Front man lazima atarudi na nadhani ndiye kaachiwa mikoba na kaka ake.






Gi Hun naye lazima awemo maana mwishoni kabisa alimfumania yule mwamba aliyem-recruit akiendelea na ileile michezo yake ya kuwapa watu business card na mwisho wa siku wanajikuta wamo kwenye Squid Arena.

 
Naona umeamua kuwa huyu mwamba hapa chini[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Hivo huo ushindi alipewa au he earned it..maana mle hakuna kubebana
 
Hivo huo ushindi alipewa au he earned it..maana mle hakuna kubebana
He earned it Ila kwa sacrifice sana maana walikufa watu wake wa karibu sana, hivyo mwisho wa siku hata kuzitumia zile pesa ikawa ni ngumu sababu ya guilt.

Pesa aliyotumia ni ile aliyompa mama wa rafiki yake ambaye ndiye alimwachia mdogo wake na yule dada walokuwa wote kwenye game.
 
Ha ha ile game ya green light, red light baada ya kuanza kupelekewa moto walipagawa [emoji1][emoji1]
 
Squid [emoji1653]
Octopus [emoji223]
 
Ali's role in squid game taught us that no matter how kind or innocent you are, some people will still abuse and use you.

And the saddest thing about betrayal is that it never comes from enemies, it comes from those you trust
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…