Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Kwa kifupi ukitumia meseji kwa sababu hukualikwa kula bata na mshikaji sio?
 
Ile part ya jamaa alivyo rudi akkuta mama yake ka dedi uliniumiza Sana.

Ila aliniboa kudusa zile pesa, nilitamani niingie mle nimlambe makofi
Kutokana na hulka ya jamaa lazima aduse zile fedha ila lingekuwa like jamaa lililokula mbususu lisingeweza kudusa..😂
 
Sijui kwa nini hakumwambia labda alitaka afe aache kumtambulisha tambulisha kama best student..[emoji23]
 
Kabla ya Netflix imekuwepo kwenye gemu la Roblox kwa jina hilo hilo na mavazi.. Wazazi wengi wakajua baada ya watoto wao kusema upo pia ndani ya Roblox..
 
yaani mimi kupitia hio movie nimejifunza kumbe pesa haina thamani zaidi kuliko maisha yetu.

japo pesa tunaichukulia kua ndio kila kitu katika maisha yetu ila kumbe maisha yetu ni bora zaidi ta pesa ...
 
Nipo episode ya sita.

Series tamu. Nlikua naipita tu Netflix mpk niliposoma huu uzi nikaona mnavoisifu [emoji108]
 
Daa kifo cha Ali kilinihuzumisha mno! Ni tuseme movie tu ila nimejifunza na kujifunza zaidi
 
Huyu mzee alimpuna jamaa goroli zote sema ttz lilikua kumbukumbu hana

Alikuwa anakumbukumbu vzr sana mwisho alimwambia kwan sijui kama uliniichukulia golol zangu? Ili uendelee kuish? Ila mzee ndo ivo alikuwa member! Ile kufanya vile hakutak kumtoa jamaa mchezon maana mzee alitokea kumkubal jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mzee ndiyo yuko nyuma ya game nzima, na ndio maana hakuuwawa, na aliamua tuu mwenyewe kujifanyisha kapoteza kumbukumbu ili amsaidie jamaa asife.

Kabisa kabisa maana alimwambia kama anajua kama kabuibia gololi zake! Ila mzee alitokea kumkubal kijana
 
Ukiandika hivi ni Kama vile umewaambia waache kutengeneza pesa kitu ambacho hakiwezekani!! Hili goma litaendelea mkuu.
Sioni likiendelea maana wale watu ambao walikuwa wanainogesha wote wametoka na mahindi katoweja haijulikani kama anaenda kumtafuta mtoto wake huko jwa Biden au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…