Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ni ngumu Sema pia kutoboa mpaka 75 ni bahati mzeeeMkuu hebu jaribu kupata picha ya mwenye miaka 75+ kutumia mitandao ya kijamii
Ni ngumu Sema pia kutoboa mpaka 75 ni bahati mzeeeMkuu hebu jaribu kupata picha ya mwenye miaka 75+ kutumia mitandao ya kijamii
Ahahahahaha we jamaaa wewe .😂😂😂🫵🫵 Umeanza kwa vitishoMkuu Poor Brain kwanza kabisa sijui kwa nini katika maswali yako nimeona kwa watu 3 nami nikowemo umeweka emoji ya kucheka 😂!. WHY?
SWALI LAKO:
Kwa kifupi kabisa kwa umri nilio nao sasa plus hiyo 70 nitakuwa na more than 120+ ni umri ambao hata mwenyeezi Mungu hajataka tuifikie.
- Simu ni za kugusa tu. Hatujafika zile za kuongea na kuzituma mawazo 😂
Maana ile ya taabu ni 80+, hivo kipindi hicho sitakuwepo ila kwa niaba ya Gen Z hawa wa 2070.
Sisi tumetumia simu kwa kubonyeza au kutumia app ili simu iwake, ifunguke, impigie mtu, iandike na hata kusoma pasipo kuigusa nk je, nyie wa 2070 mmeweza kuzidi hapo na kuituma simu dukani kwa mangi?
😂 🤣.