Licha ya kupunguza uzito nimeondoa magonjwa mengi ya kizembe kama hypertensionNapenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
Kufa atakufa tu.π€£π€£Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii