Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
HahahahahahahahahAf mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahahahAf mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Sio suala la upungufu wa utu bali tunalitumia kuwakilisha watu wote wanaofanya au kusema mambo bila kutumia akili na hivyo kusababisha maafa au tabu kwa wengine. Imagine unakula mapapai mabichi na majani kama ngombe ili kutetea uhai wako afu mwenzako anakuambukiza ngoma! Uko ndo kuchomoa betri kwenyeweNeno kuchomoa betri limeanza baada ya Ajali ya Lori LA mafuta pale Msamvu Morogoro, MTU mjinga akachomoa betri watu wakaungua 97 wamefariki. Sasa siku hizi kuchomoa betri imekuwa kamsemo pendwa hadi magazetini. Hii ni upungufu Wa utu kwa mtumiaji Wa msemo huo. Ni kushabikia janga lililotoa roho za ndugu zetu pale msamvu morogoro. Fikiria mmoja Wa wahanga angekuwa ndugu yako Wa damu ungeshabikia msemo Wa kuchomoaa betri? Au ungekuwa eneo LA tukip ukaungua kidogo na Leo ukawa umelazwa unauguza majeraha ungeshabikia msemo huo. ? Ni kama kimbunga cha tsunami kilivyoacha msemo miaka ile nayo ilikuwa upungufu Wa ubinadamu. Watz . tuache kushabikia majanga na kugeuza msemo. Nikuakisi ukosefu mkubwa Wa ubinadamu
Yaani tuue albino ,sisi hawahawa tushabikie mmajanga yanyotoa roho , tunajenga jamii katili ya kiwango gani?
Hata betri lisipochomolewa una r.i.p.Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Hii comment nzuri lkn haiendani na mada..unamaanisha nini kwani?Jitahidi kuwa mkarimu na mwenye msaada kwa wahitaji hasa kama una ofisi ya kuhudumia jamii kama shule hospital au ofisi zingine za serikali na binafsi kwa namna hii utakuwa na tabasamu zuri sana na maisha marefu
Hii comment nzuri lkn haiendani na mada..unamaanisha nini kwani?
ohooo.umeelewekaKama unamfatilia sky mara nyingi huleta mada zinazohusu mtindo mzuri wa maisha unaoweza kumuepusha mtu kupata magonjwa au kuishi maisha ya huzuni
Nimechangia hivyo kama njia mojawapo ya kumfanya awe na furaha zaidi kama unazingatia mlo kamili lakini ni mtu jeuri wa visasi na mwenye kuonea wengine ni rahisi kupata msongo wa mawazo na kuishia kwenye magonjwa ambayo ulikuwa unayaepuka kwa kula nyama na vyakula hatarishi
Marafiki wa kudumu hao...Nyama na bia duuuu naitaji mshauri niwez kuacha kbas
chakula chenye afya ni hicho chakula cha Amaranth grain na kipo hapo nyumbani Tanzania?Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.
Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.
Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.
View attachment 1185606
Pilipili hoho na uyoga
View attachment 1185611
Bamia, nyanya, vitunguu na hoho
View attachment 1185632
Amaranth seeds zinareplace wali.
Kuku na samaki hapo tupo pamoja, nyama nyekundu nimeacha rasmiNapenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
Nazipata wapi hizi? Mi nimeacha kula wali na ugali na vyote vinavyopikwa na ngano muda mrefuMwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.
Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.
Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.
View attachment 1185606
Pilipili hoho na uyoga
View attachment 1185611
Bamia, nyanya, vitunguu na hoho
View attachment 1185632
Amaranth seeds zinareplace wali.
Dr. Sebi speaks on we are not supposed to be eating meatMwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.
Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.
Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.
View attachment 1185606
Pilipili hoho na uyoga
View attachment 1185611
Bamia, nyanya, vitunguu na hoho
View attachment 1185632
Amaranth seeds zinareplace wali.
Neno kuchomoa betri limeanza baada ya Ajali ya Lori LA mafuta pale Msamvu Morogoro, MTU mjinga akachomoa betri watu wakaungua 97 wamefariki. Sasa siku hizi kuchomoa betri imekuwa kamsemo pendwa hadi magazetini. Hii ni upungufu Wa utu kwa mtumiaji Wa msemo huo. Ni kushabikia janga lililotoa roho za ndugu zetu pale msamvu morogoro. Fikiria mmoja Wa wahanga angekuwa ndugu yako Wa damu ungeshabikia msemo Wa kuchomoaa betri? Au ungekuwa eneo LA tukip ukaungua kidogo na Leo ukawa umelazwa unauguza majeraha ungeshabikia msemo huo. ? Ni kama kimbunga cha tsunami kilivyoacha msemo miaka ile nayo ilikuwa upungufu Wa ubinadamu. Watz . tuache kushabikia majanga na kugeuza msemo. Nikuakisi ukosefu mkubwa Wa ubinadamu
Yaani tuue albino ,sisi hawahawa tushabikie mmajanga yanyotoa roho , tunajenga jamii katili ya kiwango gani?
The Metabolism of meat causes acidic environment in the blood, the best place for bacteria to thrive.
Ni Kweli kabisa kumbe wewe ni mjanja bibie?The Metabolism of meat causes acidic environment in the blood, the best place for bacteria to thrive.