Maisha baada ya kuacha kula nyama

Maisha baada ya kuacha kula nyama

Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
Kitimoto hutumii mkuu ?

kama unatumia uje kuniungisha huko gomz mashimoni.
 
Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.

Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.

Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.

View attachment 1185606

Pilipili hoho na uyoga

View attachment 1185611
Bamia, nyanya, vitunguu na hoho

View attachment 1185632

Amaranth seeds zinareplace wali.

Hatudanganyiki 🤣 🤣🤣
 
Sky Eclat usisingizie uzito au ugonjwa tuambie ukweli tu huwezi kula nyama sababu...meno yameanguka yote😂😂😂 huwezi kung'ata na kutafuna😀
 
Mbogamboga ndio mpango mzima, mchana wangu siku hizi naupitisha hapa;

Na kisha jioni 20190803_145240.jpg
20190803_145240.jpg
napata samaki mdogo wa kuchemsha au wa kuchoma
 
Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Kuna vitu vingine vya kijinga sana, wakati umeshazikwa tayari kaburini unakaa unafikilia hupati jibu unaishia kujisemea nimekufa kizembe kweli Ila sasa yule mshikaji naye ni boya sana ilikuwaje akachomoa betri wakati anaona hatujamaliza kuchota wese, sijui aliona mafuta hayalipi? Fa'la kweli si angesubiri ndo aanze kazi yake ya hayo ma betri sijui'
 
Kwa Mimi natafuta mwili wacha niendelee kufukia nyama.
Maisha bila nyama aisee[emoji3]
 
Nitajaribu nione tofauti......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda usile kwa sababu haipo.
Hivihivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kuna vitu vingine vya kijinga sana, wakati umeshazikwa tayari kaburini unakaa unafikilia hupati jibu unaishia kujisemea nimekufa kizembe kweli Ila sasa yule mshikaji naye ni boya sana ilikuwaje akachomoa betri wakati anaona hatujamaliza kuchota wese, sijui aliona mafuta hayalipi? Fa'la kweli si angesubiri ndo aanze kazi yake ya hayo ma betri sijui'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana, hakika umechagua jambo jema. Nami nimeounguza kula nyama kwa sana kiasi nyama sio kati ya mboga ndani ya nyumba yangu!!
 
Safi maana nyama hizo unazopenda kitaalamu ndizo tunazoshauliwa kula lakini sio kupitiliza sasa...
Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
 
Hii avatar ina mengi ya kutaka kujua
Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
 
Neno kuchomoa betri limeanza baada ya Ajali ya Lori LA mafuta pale Msamvu Morogoro, MTU mjinga akachomoa betri watu wakaungua 97 wamefariki. Sasa siku hizi kuchomoa betri imekuwa kamsemo pendwa hadi magazetini. Hii ni upungufu Wa utu kwa mtumiaji Wa msemo huo. Ni kushabikia janga lililotoa roho za ndugu zetu pale msamvu morogoro. Fikiria mmoja Wa wahanga angekuwa ndugu yako Wa damu ungeshabikia msemo Wa kuchomoaa betri? Au ungekuwa eneo LA tukip ukaungua kidogo na Leo ukawa umelazwa unauguza majeraha ungeshabikia msemo huo. ? Ni kama kimbunga cha tsunami kilivyoacha msemo miaka ile nayo ilikuwa upungufu Wa ubinadamu. Watz . tuache kushabikia majanga na kugeuza msemo. Nikuakisi ukosefu mkubwa Wa ubinadamu
Yaani tuue albino ,sisi hawahawa tushabikie mmajanga yanyotoa roho , tunajenga jamii katili ya kiwango gani?
 
Back
Top Bottom