Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
[emoji23][emoji23][emoji23]Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Kitimoto hutumii mkuu ?Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.
Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango wa kula mbegu za amaranth kama nafaka huko mbeleni nikibadilisha na ndizi mbichi, maboga na mapapai mabichi.
Pamoja na kula mboga ninakunywa lita mbili za maji na herbal teas. Constipation ni msamiati kwangu na uzito unaondoka wenyewe.
View attachment 1185606
Pilipili hoho na uyoga
View attachment 1185611
Bamia, nyanya, vitunguu na hoho
View attachment 1185632
Amaranth seeds zinareplace wali.
Nitajaribu nione tofauti......Jaribu for a week hutarudia nyama
Kuna vitu vingine vya kijinga sana, wakati umeshazikwa tayari kaburini unakaa unafikilia hupati jibu unaishia kujisemea nimekufa kizembe kweli Ila sasa yule mshikaji naye ni boya sana ilikuwaje akachomoa betri wakati anaona hatujamaliza kuchota wese, sijui aliona mafuta hayalipi? Fa'la kweli si angesubiri ndo aanze kazi yake ya hayo ma betri sijui'Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
Af mtu anakuja kuchomoa betri unafariki kienyejiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitajaribu nione tofauti......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu vingine vya kijinga sana, wakati umeshazikwa tayari kaburini unakaa unafikilia hupati jibu unaishia kujisemea nimekufa kizembe kweli Ila sasa yule mshikaji naye ni boya sana ilikuwaje akachomoa betri wakati anaona hatujamaliza kuchota wese, sijui aliona mafuta hayalipi? Fa'la kweli si angesubiri ndo aanze kazi yake ya hayo ma betri sijui'
Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.