Maisha baada ya kuacha kula nyama

Dr. Sebi speaks on we are not supposed to be eating meat


Go and tell masai not to devour meat,🀣🀣. Only pork is, categorically, not to be eaten. 🐷🐷 and notπŸŸπŸπŸ¦ŽπŸ¦“πŸπŸ‚πŸͺ.
 
Hivi wanaokula mivyakula yote na hawanenepi hata kidogo wataalam mtuelezee inakuaje kuaje hapa,kuna siri gana hapa?
 
Mababu zetu walikuwa wanakula nyama pori na zakufugwa bila kubagua na waliishi miaka mingi kuliko kawaida.

Magonjwa yalikuwepo wanakunywa mitishamba tu ugonjwa unakata Leo hii hata mafua mnalazwa hospitali mnasingizia nyama.

Sumu nyingi mwilini zinaletwa madawa na siyo vyakula hivi.

Tuaiache nature ifanye kazi yake tutaishi kwa furaha sana tu.
 
Hivi kuna watu wanakula nyama kama wamasai hapa Tanzania mkuu?
Ebu jaribu kufuatilia life expectancy zao,halafu uje utupe mrejesho.
 
Mfumo wao wa maisha ni tofauti kidogo wanatembea na kufanya kazi ngumu hivyo ulaji hauwaathiri hapa nadhani tunaongelea zaidi watu wanaoshinda ofisini na kufanya kazi laini.lakini pia sijawahi kufanya utafiti kwao labda nikifanya naweza kuja na majibu tofauti
Hivi kuna watu wanakula nyama kama wamasai hapa Tanzania mkuu?
Ebu jaribu kufuatilia life expectancy zao,halafu uje utupe mrejesho.
 
Napenda sana kuku na samaki, siwezi kuacha kula hivyo.
Kwakuwa unapunguza uzito basi heri, mie sidhani kama nitakuja kunenepa, na nikinenepa sijui nitafanyaje maana napenda sana nyama haswa ya kuku.
White meat hazina shida,.. Zingatia mboga mboga, matunda na maji mengi... Mbaya ni zile red meat...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…