Uchaguzi 2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

Kama wasingeiba Kura kwa malaki hata wabunge watatu wasingepata.JAMBO moja muhimu wanajua kuwa kama si wizi wasingekuepo hapo.hawawezi tamba Tena etti miaka mia watatawala.
Bila wizi hata mbunge mmoja wasingepata
 
Umeandika usichokiamini! Hongera!
 
Kikwete aliwatosa ma-best wake ili chama kisimfie mikononi mwake, lakini Magu kaua kabisa upinzani ili akilinde chama chake. Sasa tusisubiri mtu wa kuja kuiua nchi ili alinde maslahi ya chama chake.
 

Kwa kukodi majeshi kutoka Burundi na kulitumia jeshi la Tanganyika mumelazimisha ushindi kwa kuuwa watu

WALIOUWAWA NA POLISI ZANZIBAR WAONGEZEKA.

RIPOTI YA HALI YA MKOA WA MICHEWENI KWA USIKU WA JANA TRH 26/10/2020.

1.Hamad Khamis Hamad mkaazi wa Makundaani jimbo la Wingwi miaka 25 Amepigwa risasi ya Mkoni

2. Abdallah Nassor Mbarouk miaka 30 mkaazi wa Mchepewe jimbo la Wingwi Amepigwa risasi na amefariki dunia

3.Ali Said Kombo miaka 35 mkaazi wa Kinazini jimbo la Wingwi Amepigwa risasi ya Shingo

4.Hamad Amour Abdalla miaka 35 mkaazi wa Sizini jimbo la Wingwi amepigwa risasi ya paja na kutokea upande wa pili

5.Abdalla Hamad Miaka 34 mkaazi wa Tumbe Mbuyuni amefariki kwa kupigwa risasi

6.Mustafa Haji Shaame miaka 30 mkaazi wa Tumbe Kaliwa jimbo la Tumbe ni majeruhi amepigwa risasi

7.Masoud Salim Fadhil miaka 16 mkaazi wa Mafya jimbo la Wingwi amefariki dunia kwa kupigwa risasi ya Tumbo

8.Khator Kombo Bakar miaka 22 Mkaazi wa Shumba Mjini amekamatwa usiku wa jana huko Shumba Mjini

9.Shehe Mahmoud miaka 50 Mkaazi wa Chamboni Shumba Mjini nae pia alichukiliwa usiku wa jana.

Kombo Mwinyi Shehe.
Katibu wa haki za Binadam
Mkoa wa Micheweni kichama.
 
Definition of a stupid
KNOWING the truth
SEEING the truth
And still believing the LIES
Or trying to feed others the lies
 
Umeandika points Sana, na Ukweli mtupu. CCM System, na inafanya kazi Sababu ya uwepo wa watu fulan hivi wasiojielewa. Watu wanaoamini bila CCM hii nchi haiwezi kuwepo.

Hawa ndo mtaji mkubwa sana wa CCM.
 
Umeandika points Sana, na Ukweli mtupu. CCM System, na inafanya kazi Sababu ya uwepo wa watu fulan hivi wasiojielewa. Watu wanaoamini bila CCM hii nchi haiwezi kuwepo.

Hawa ndo mtaji mkubwa sana wa CCM.
Naunga Mkono hoja100%.
 
Hamjaacha tu siasa maji mataka, CCM is here forever!
Sisi tumeacha siasa, nyie mmekumbatia siasa majitaka, tunawatakia kazi njema katika kuifanya Tanzania kama Canada ..wapinzan hawapo bungeni sasa tunatarajia kua wanannchi wote Tanzania watakua mabilionea mana wapinzani ndio walikua wanazuia Tanzania kua kama marekani na kuwafanya kua masikini
 


oyeee 😂 , unaongea kama unataka kulia
 
CCM MPYA inasikitisha sana🙄
 
Navyoona ni kwamba kila mkti wa chama anatamani aendelee kama ilivyo kwa kina Mh.Mbowe pale CHADEMA, Mh.Mbatia kule NCCR , Lipumba kule CUF na wengine wengi. Sasa sijui kwanini huyu moja wa CCM ndo tunataka awapishe wengine wakati yeye ni mweneyekiti wa muda mfupi ladba for 10 years mpaka hapo 2025.
 
Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahidi.
Walishaambiwa tokea kurudisha mfumo wa vyama vingi wapinzani wasikubali kuingia vyama vingi hadi pale itabadirishwa katiba na uchaguzi kusimamiwa na tume huru.
Kwa ujinga walipofushwa pale Kaborou kushinda ubunge Kigoma kupitia chama cha upinzani.
Tusema tu kuna maisha baada ya uchaguzi mkuu.
Siku wananchi au vyama vya upinzani watakapogundua umuhimu wa tume huru na kuacha kutumika kama viporo vya mabaki ya chakula ndio utakuwa mwisho wa porojo za siasa zisizo na tija.
 
Yale Yale ya kusifu na kuabudu mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…