Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Hapa umetudanganya! Utashi wa kumchagua kiongozi tumtakaye tumpewa sisi na Mungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ni mashee janja janja.Hapa umetudanganya!Utashi wa kumchagua kiongozi tumtakaye tuneoewa sisi na Mungu!
Andiko boraNASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu...
Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi ila akitaka Allah yeyote yule atamuweka...
UTAPIGA KURA KWA UNAYEMTAKA, ILA HATAKUWA KIONGOZI ISIPOKUWA ALIYEMTAKA ALLAH...NA HATA KAMA AKIWA YULE ULIYEMTAKA...ALLAH HASHINDWI KUWATAABISHA JUU YA HUYO HUYO MLIYEMTAKA...
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU...
Inawezekana kabisa mkafanikiwa kumuondoa kiongozi aliyopo madarakani, ila kutokana na dhambi za mikono yetu ALLAH akatuletea kiongozi DHAALIM ZAIDI kuliko tuliyemtoa hata kama tumemchagua wenyewe...
Wangapi wamechagua wao wenyewe machaguo yao wenyewe wanaowapenda lakini mwisho wa siku walipoingia madarakani walikuwa waovu kuliko walivyotarajia, na walijuta juu ya yule wakitamani angerudi...?

TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU!
Tumche allah kwa kuzitii Mamlaka alizotuwekea Allah...
TUBADILIKE KWANZA SISI WATANZANIA WENYEWE, TUACHE KUDHULUMIANA WENYEWE KWANZA, ALLAH ANATULETEA VIONGOZI WANAOENDANA NA SISI JINSI TULIVYO...
TUKIWA WAJEURI, MAJABARI, WAKOROFI BASI ATATUPA KIONGOZI AMBAYE ATAKUWA ZAIDI YETU...
TUKIWA WEZI KUIBIANA WENYEWE KWA WENYEWE ALLAH ATATULETEA MAFISADI MAJIZI MAKUBWA ZAIDI YETU...
TUTENDEANE WEMA...
TUHURUMIANE...
TUFANYIANE UADILIFU...
TUMCHE ALLAH...
#MaishaMema_BaadaYaUchaguzi
Tulioko rohoni tunakuelewa, walio mwilini ni wa Mwilini.NASAHA MUHIMU SANA...

Hataka kama.......Hata Kama akitangazwa mshindi Batili?
Iraqi na Libya kulikua na Madikteta walifikiri nchi hizo ni Mali yao na FamiliaHataka kama.......
Ndio ashakuwa kiongozi tayari
kinyume chake
Tutakuwa hakuna tofauti kama Libya,Iraq nk
Hakuna jela ya kutosha watu mill 50Chadema wataozea jela
Hata huyu alikua anasema hivyoChadema wataozea jela
Hata huyu alikua anasema hivyo
Aliyekuelewa atueleweshe please.NASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu...
Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi ila akitaka Allah yeyote yule atamuweka...
UTAPIGA KURA KWA UNAYEMTAKA, ILA HATAKUWA KIONGOZI ISIPOKUWA ALIYEMTAKA ALLAH...NA HATA KAMA AKIWA YULE ULIYEMTAKA...ALLAH HASHINDWI KUWATAABISHA JUU YA HUYO HUYO MLIYEMTAKA...
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU...
Inawezekana kabisa mkafanikiwa kumuondoa kiongozi aliyopo madarakani, ila kutokana na dhambi za mikono yetu ALLAH akatuletea kiongozi DHAALIM ZAIDI kuliko tuliyemtoa hata kama tumemchagua wenyewe...
Wangapi wamechagua wao wenyewe machaguo yao wenyewe wanaowapenda lakini mwisho wa siku walipoingia madarakani walikuwa waovu kuliko walivyotarajia, na walijuta juu ya yule wakitamani angerudi...?
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU!
Tumche allah kwa kuzitii Mamlaka alizotuwekea Allah...
TUBADILIKE KWANZA SISI WATANZANIA WENYEWE, TUACHE KUDHULUMIANA WENYEWE KWANZA, ALLAH ANATULETEA VIONGOZI WANAOENDANA NA SISI JINSI TULIVYO...
TUKIWA WAJEURI, MAJABARI, WAKOROFI BASI ATATUPA KIONGOZI AMBAYE ATAKUWA ZAIDI YETU...
TUKIWA WEZI KUIBIANA WENYEWE KWA WENYEWE ALLAH ATATULETEA MAFISADI MAJIZI MAKUBWA ZAIDI YETU...
TUTENDEANE WEMA...
TUHURUMIANE...
TUFANYIANE UADILIFU...
TUMCHE ALLAH...
#MaishaMema_BaadaYaUchaguzi
Maana lissu anatesa wapinzani na kuwatishia jela??Huyo ana akili km za lissu
Yaani dah,ndo matokeo ya kusoma elimu akhera haya.Wewe nenda msikitini kafanya adhkaar
Sisi tuache tupambane na mtu dhalim
Eti hata akiiba Ndio kachaguliwa....
Sasa je yakitokea machafuko halafu rais fake (feki) akapinduliwa akaja Rais mwingine tumtii yule wa kwanza au wa pili?
Maana lissu anatesa wapinzani na kuwatishia jela??
Huyu alikua kiburi kama kafiri fulani anafikiri nchi Mali yake
kiongozi tupewe na Mungu sio Tupewe na NEC"NASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu...
Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi ila akitaka Allah yeyote yule atamuweka...
UTAPIGA KURA KWA UNAYEMTAKA, ILA HATAKUWA KIONGOZI ISIPOKUWA ALIYEMTAKA ALLAH...NA HATA KAMA AKIWA YULE ULIYEMTAKA...ALLAH HASHINDWI KUWATAABISHA JUU YA HUYO HUYO MLIYEMTAKA...
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU...
Inawezekana kabisa mkafanikiwa kumuondoa kiongozi aliyopo madarakani, ila kutokana na dhambi za mikono yetu ALLAH akatuletea kiongozi DHAALIM ZAIDI kuliko tuliyemtoa hata kama tumemchagua wenyewe...
Wangapi wamechagua wao wenyewe machaguo yao wenyewe wanaowapenda lakini mwisho wa siku walipoingia madarakani walikuwa waovu kuliko walivyotarajia, na walijuta juu ya yule wakitamani angerudi...?
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU!
Tumche allah kwa kuzitii Mamlaka alizotuwekea Allah...
TUBADILIKE KWANZA SISI WATANZANIA WENYEWE, TUACHE KUDHULUMIANA WENYEWE KWANZA, ALLAH ANATULETEA VIONGOZI WANAOENDANA NA SISI JINSI TULIVYO...
TUKIWA WAJEURI, MAJABARI, WAKOROFI BASI ATATUPA KIONGOZI AMBAYE ATAKUWA ZAIDI YETU...
TUKIWA WEZI KUIBIANA WENYEWE KWA WENYEWE ALLAH ATATULETEA MAFISADI MAJIZI MAKUBWA ZAIDI YETU...
TUTENDEANE WEMA...
TUHURUMIANE...
TUFANYIANE UADILIFU...
TUMCHE ALLAH...
#MaishaMema_BaadaYaUchaguzi
Ukitaka kujua jela hazijai fanya makosaHakuna jela ya kutosha watu mill 50
Sasa ALLAH mnamsingizia mambo mengine kwa hiyo unataka kuniambia ALLAH ndie alimchagua Al-Alhad Mussa kuwa Sheikh Mkuu wa wanafiki wa BAKWATA Dar es Salaam?NASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu...
Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi ila akitaka Allah yeyote yule atamuweka...
UTAPIGA KURA KWA UNAYEMTAKA, ILA HATAKUWA KIONGOZI ISIPOKUWA ALIYEMTAKA ALLAH...NA HATA KAMA AKIWA YULE ULIYEMTAKA...ALLAH HASHINDWI KUWATAABISHA JUU YA HUYO HUYO MLIYEMTAKA...
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU...
Inawezekana kabisa mkafanikiwa kumuondoa kiongozi aliyopo madarakani, ila kutokana na dhambi za mikono yetu ALLAH akatuletea kiongozi DHAALIM ZAIDI kuliko tuliyemtoa hata kama tumemchagua wenyewe...
Wangapi wamechagua wao wenyewe machaguo yao wenyewe wanaowapenda lakini mwisho wa siku walipoingia madarakani walikuwa waovu kuliko walivyotarajia, na walijuta juu ya yule wakitamani angerudi...?
Jamani ndugu Watanzania, tusifanye majaribio ya kumbugudhi au kutaka kumuondoa Kiongozi aliye madarakani...
Hatuwezi wote kuwa viongozi, ALLAH HUMPA UONGOZI YEYOTE ANAYEMTAKA YEYE...NA ATAMUONDOA AKITAKA YEYE!
TUZIKUBALI NA KUZITII MAMLAKA ZOZOTE AMBAZO ALLAH ATAZIWEKA KWA AJILI YETU!
Tumche allah kwa kuzitii Mamlaka alizotuwekea Allah...
TUBADILIKE KWANZA SISI WATANZANIA WENYEWE, TUACHE KUDHULUMIANA WENYEWE KWANZA, ALLAH ANATULETEA VIONGOZI WANAOENDANA NA SISI JINSI TULIVYO...
TUKIWA WAJEURI, MAJABARI, WAKOROFI BASI ATATUPA KIONGOZI AMBAYE ATAKUWA ZAIDI YETU...
TUKIWA WEZI KUIBIANA WENYEWE KWA WENYEWE ALLAH ATATULETEA MAFISADI MAJIZI MAKUBWA ZAIDI YETU...
TUTENDEANE WEMA...
TUHURUMIANE...
TUFANYIANE UADILIFU...
TUMCHE ALLAH...
#MaishaMema_BaadaYaUchaguzi
Uchaguzi utakuhusu tu utake usitake, utakuhusu tu. Mazingira yanayokuzunguka yapo mikononi mwa wanasiasa.Mimi sipo na BAKWATA(kwanza SIWAPENDI)...Na wala sipo upande wa PONDA(wala simuungi mkono vilevile)...
Na wala mimi sio CCM wala CHADEMA...Na uchaguzi huu haunihusu...
Kinachonihusu ni maisha yetu binafsi baada ya kuwapigania matumbo ya watu...
Hakuna anayeingia kwenye uongozi kwa maslahi ya mtu hata siku moja. .