Chief
acha hasira
Unapomzungumzia Mtume wa Allah ﷺ ni lazima uwe makini na ushahidi sahihi....
Mtume ﷺ alipokuwa Makka,aliteswa yeye na Maswahaba wake,hawakuweza kufanya kitu,Bali alibaki akifundisha na kutoa muongozo sahihi kwa Umma wake
Mpaka alipokwenda Madina
Madina,alikutana na Tawala na magomvi yao,ila yeye alitengeneza Serikali yake,kwakuwa alikuwa na nguvu ya kutosha kwa wakati ule na sehemu ile husika(Madina)
Ama kuhusu utiifu juu ya Kiongozi(Hata akiwa Dhalimu)ni jambo tulilo amrishwa na Sheria yetu(muda wa kuwa hatuna nguvu ya kumtoa...na kuchelea madhara makubwa zaidi kama vile uvunjifu wa amani,umwagaji wa damu nk)
Angalia Hadithi hii Chief
حديث حذيفة رضي الله عنه لما قال لرسول الله صلى الله عليه وسلم كيف اصنع يا رسول الله إن أدركت ذلك يعني ما يقع من جور الولاة وظلمهم قال: تسمع وتطيع للأمير وأن ضرب ظهرك وأخذ مالك (مسلم)
Swahaba wa Mtume wa Allah
Hudhayfah
anaelezea jinsi maongezi baina yake na Mtume wa Allah Sala na Salamu ziwe juu yake,pale kiongozi anapokuwa Muovu(Dhaalim)
Mtume wa Allah ﷺ
Jilazimishe na usiku na utiifu kwa Kiongozi,Hata kama atapiga Mgongo wako na kuchukua Mali yako.....
Hali hii
Ni pale unapohisi unyonge na huna nguvu za kupambana
Hali hii
Ni pale unapohisi hatari zaidi,pale unapomuasi kiongozi
Hali hii
Ni pale,unapoangalia hasara na faida na kumkataa Kiongozi na kumnyooshea Silaha au Kidole
Tunachopaswa sisi kama Watanzania
Ni amani na utulivu
Kisha
tujiangalie kwa makini,ni wapi tumekosea...ili tuweze kurekebisha makosa yetu
Hakika
Kiongozi hutengenezwa na Jamii
Jamii salama,hutengeneza Kiongozi mwema na mwenye huruma
Shukran
Iraqi na Libya kulikua na Madikteta walifikiri nchi hizo ni Mali yao na Familia
Ndio walaumiwe
Hujui dini wewe
Rasulullah SAW wakati yupo Makkah kulikua na viongozi dhalim wala hakuwatii Ndio maana waislamu waliteswa sana na kule madina pia kulikua na viongozi wanafiki..... hakuwatii.........
Someni dini acheni kutoa fatwa bila elimu