Uchaguzi 2020 Maisha baada ya uchaguzi!

Jambo lililo ndani ya uwezo wa Mwanadamu Mungu hahusiki.
 
Andiko bora
Shukran Bro

Kichaa huzaa kichaa
Ni mara chache sana kichaa kutozaa kichaa

Ni kweli kabisa
Inapaswa sisi kama sisi,tuzirudi nafsi zetu,na tuwe wema mbele ya Muumba wetu

Hakika
Tutapata Kiongozi mwenye baraka na kheri

بارك الله فيكم
 
Tulioko rohoni tunakuelewa, walio mwilini ni wa Mwilini.
 
Hataka kama.......
Ndio ashakuwa kiongozi tayari

kinyume chake
Tutakuwa hakuna tofauti kama Libya,Iraq nk
Iraqi na Libya kulikua na Madikteta walifikiri nchi hizo ni Mali yao na Familia
Ndio walaumiwe
Hujui dini wewe
Rasulullah SAW wakati yupo Makkah kulikua na viongozi dhalim wala hakuwatii Ndio maana waislamu waliteswa sana na kule madina pia kulikua na viongozi wanafiki..... hakuwatii.........
Someni dini acheni kutoa fatwa bila elimu
 
Aliyekuelewa atueleweshe please.
 
Wewe nenda msikitini kafanya adhkaar
Sisi tuache tupambane na mtu dhalim
Eti hata akiiba Ndio kachaguliwa....
Sasa je yakitokea machafuko halafu rais fake (feki) akapinduliwa akaja Rais mwingine tumtii yule wa kwanza au wa pili?
Yaani dah,ndo matokeo ya kusoma elimu akhera haya.
 
Lissu ni msaliti wa Nchi km huyo na anatesa Watanzania kwa kufundisha tabia chafu
Maana lissu anatesa wapinzani na kuwatishia jela??
Huyu alikua kiburi kama kafiri fulani anafikiri nchi Mali yake
 
kiongozi tupewe na Mungu sio Tupewe na NEC"
 
Sasa ALLAH mnamsingizia mambo mengine kwa hiyo unataka kuniambia ALLAH ndie alimchagua Al-Alhad Mussa kuwa Sheikh Mkuu wa wanafiki wa BAKWATA Dar es Salaam?
 
Uchaguzi utakuhusu tu utake usitake, utakuhusu tu. Mazingira yanayokuzunguka yapo mikononi mwa wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…