Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,933
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri

Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani.

Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua ya utengenezaji wanachinja mbuzi au kondooo.

2. Tukiachana na Wachina nikaja Dar kuna waturuki walikua maeneo ya Mwenge pale wanafanya decoration na finishing kwenye majumba niliwahi fanya kazi pale nao ilikua ikifika mwisho wa mwezi wanachinja mbuzi mlangoni pa kuingilia ofisini kisha wanapika nyama watu wanakula.

3. Mbali na hao Waturuki kuna kampuni moja kubwa sana ya mafuta mi nilijua maboss awana muda na izi mambo wana petrol station kibao za blue wao kila mwisho wa mwezi wanaboost na Ng'ombe kisha nyama wanapika wanapewa wafanyakazi.

Mwisho nikagundua kama wewe sio mshirikina sali sana unless or otherwise mafanikio utaishia kuyasikia tu kwa wenzako .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kafara yangu ilikwisha kutolewa Yesu Kristo mwenye haki
 
mtiti wa kafara si mchezo mi niliendaga kwa kalumazira kwanza kufika eneo husika nikawa sielewielewi nikaghairisha kabisa ata ndani sikuingia acha nipambane kibishi bishi tu kama ipoipo tu...
Komaa mzee baba mpka mvi zinatoka wanaokuja nyuma wanatisua.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri

Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani.

Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua ya utengenezaji wanachinja mbuzi au kondooo.

2. Tukiachana na Wachina nikaja Dar kuna waturuki walikua maeneo ya Mwenge pale wanafanya decoration na finishing kwenye majumba niliwahi fanya kazi pale nao ilikua ikifika mwisho wa mwezi wanachinja mbuzi mlangoni pa kuingilia ofisini kisha wanapika nyama watu wanakula.

3. Mbali na hao Waturuki kuna kampuni moja kubwa sana ya mafuta mi nilijua maboss awana muda na izi mambo wana petrol station kibao za blue wao kila mwisho wa mwezi wanaboost na Ng'ombe kisha nyama wanapika wanapewa wafanyakazi.

Mwisho nikagundua kama wewe sio mshirikina sali sana unless or otherwise mafanikio utaishia kuyasikia tu kwa wenzako .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sitaki kuamini hayo lkn kuna mwanafunzi wa chuo fulani cha Ualimu alinieleza kuwa kila ijumaa kuna mbuzi anachinjwa damu anamwagikia sehemu fulani ambayo wamekusudia then baadae wanafunzi wanakula nyama!!!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri

Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani.

Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua ya utengenezaji wanachinja mbuzi au kondooo.

2. Tukiachana na Wachina nikaja Dar kuna waturuki walikua maeneo ya Mwenge pale wanafanya decoration na finishing kwenye majumba niliwahi fanya kazi pale nao ilikua ikifika mwisho wa mwezi wanachinja mbuzi mlangoni pa kuingilia ofisini kisha wanapika nyama watu wanakula.

3. Mbali na hao Waturuki kuna kampuni moja kubwa sana ya mafuta mi nilijua maboss awana muda na izi mambo wana petrol station kibao za blue wao kila mwisho wa mwezi wanaboost na Ng'ombe kisha nyama wanapika wanapewa wafanyakazi.

Mwisho nikagundua kama wewe sio mshirikina sali sana unless or otherwise mafanikio utaishia kuyasikia tu kwa wenzako .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hii mentality ni ya kipumbavu
 
Ni kwelj kabisa,kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anakaa jirani na shk mmj mkubwa tu
Pale kuna watu maarufu,viongz walikuwa wanakuja,wanafanya yao chinja sana mehhmehh
Watu wengine tukiwaona tuna waenjoy tu

Ila ndiyo dunia hiyoo

Ova
 
Brother watakupa siri zote ila za kutoa makafara ata km nirafiki yako akwambii anajikata kimya kimya tu unaona mambo yake yanasonga.

Back
Top Bottom