Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo
either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani.
Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua ya utengenezaji wanachinja mbuzi au kondooo.
2. Tukiachana na Wachina nikaja Dar kuna waturuki walikua maeneo ya Mwenge pale wanafanya
decoration na
finishing kwenye majumba niliwahi fanya kazi pale nao ilikua ikifika mwisho wa mwezi wanachinja mbuzi mlangoni pa kuingilia ofisini kisha wanapika nyama watu wanakula.
3. Mbali na hao Waturuki kuna kampuni moja kubwa sana ya mafuta mi nilijua maboss awana muda na izi mambo wana
petrol station kibao za blue wao kila mwisho wa mwezi wanaboost na Ng'ombe kisha nyama wanapika wanapewa wafanyakazi.
Mwisho nikagundua kama wewe sio mshirikina sali sana unless or otherwise mafanikio utaishia kuyasikia tu kwa wenzako .
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app