Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Kila kiungo chako ulichonacho kina manufaa yake pua inanusa harufu, meno yanasagia chakula, macho yanasaidia kuona, kwanini Sasa tusingekua na kiungo kimoja tu ambacho kinafanya vitu vyote hivyo .ndio unajua kwamba Kuna designer alkaa chini akafikiria
 
Huyo daktari aliyekusaidia tatizo la kutokuona mbali, mwambie akusaidie atengeneze tu hata atengeneze jicho. Achanganye changanye anavyojua afu atutolee jicho la binadam
 
Okay nmekuelewa sana tu kwa hiyo hufungamani na sayansi kwa namna yoyote ile si ndio?

Kama ndio unaamini how did life began?
 
No research no right to talk
So kama huwezi kuprove absence ya MUNGU huwezi kuniambia hayupo njoo na ushahidi kwamba hayupo nikubaliane na ww
Kama unataka kujua uwepo wa MUNGU fuatilia tafiti za Isak Newtown utaelewa vzr
 
Hiyo sentensi yako mwisho inaonesha dhahiri una ugonjwa wa afya ya akili u dont believe in God how come u are believing in hell.
 
Sayansi haiaminiki ila unatakiwa ujue not by faith but by knowledge
If you believe in science then hamna haja ya kuacha kuamini na MUNGU
 
Wafia dini washakimbia wala hawana hoja za kujibu.

Wanajaribu kufosi mawazo yao uchwara na hekaya zao za Biblia na Quran ziwe ukweli kumbe ni takataka tu.
Aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimerudi sasa nifatilie kwa makini.!
 
Hizi akili ndio zinawaongoza kulawiti na kubaka.

Mungu awafunguwe macho, usipokuwa na hofu ya Mungu wewe ni zaidi ya mnyama.
Mkuu Dini haijazui uovu wowote ule Zaidi Tu ya kukusanya maokoto.
Mfano mkoa wa mbeya si kuna nyumba za Ibada kibao lakini matendo ya kikatili yanatokea huko Je ni mangap?
Juzi hapa paroko kapigwa mvua ya miaka 30 ,kuhusika na mauaji ya Mtoto mwenye ualbino.

Mashek, maostadhi ,Padre wangapi wamefunguliwa mashitaka ya ulawiti na ubakaji?.

Cha msingi ni watu kupewa Elimu ya siha njema, Sheria, ustawi wa Jamii. Ili Jamii iweze kuendelea ni lazima wananchi wapate Elimu itakayo wanufaisha .
 
Thank God I'm an Atheist!

Sarcasm..... You either get it or you don't.
Thank God I'm an Atheist!

Sarcasm..... You either get it or you don't.
Sio dhambi kua adheist amani iwe nanyi Padri akilala na sister haibadilishi ukatoliki
 
Nazungumzia hofu ya Mungu, sizungumzii dini, dini tunajuwa ni miradi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…