Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Ukishasema hutambui uwepo wa Mungu mimi na wewe hatuna tena cha kujadili.

Tunaomtambuwa Mungu uwepo wake kama si yeye tungeshazikwa zamani kwa vita tulivyopigwa lakini ni Mungu tu ndiye ameendelea kutupigania.

In principal kama huamini Mungu yupo mimi na wewe hatuna cha kujadili na Mungu huwa hapiganiwi na binadamu yeye ndio anatupigania.
 
Suala si kutambua au kutotambua uwepo wa Mungu.

Unaweza kutambua uwepo wa Mungu, hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.

Suala si wewe unatambua au hutambui uwepo wa Mungu.

Suala ni, Mungu yupo?

Na kama unasema huna cha kujadili na wanaosema hakuna Mungu, uko hapa kufanya nini?
 
Kujibu swali umeshindwa. Unaleta nukuu za mababu wa kizungu zilizotafsiriwa kwa lugha yako mtumwa wao ili uelewe mabwana zako wanakutaka uamini nini, ufanye nini.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Alooo
 
[/QUOTE]
 
Sema huna majibu ya kujibu maswali yangu.

Huna hoja, You are just throwing tantrums.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Binafsi sipendi kubishana kisa dini hapana sipendi kabisa kwa sababu maandiko yapo katika biblia takatifu na Quran tukufu maandiko yanathibitisha kuwepo katika zama mbali mbali hasa watu kukataa kuhusu mungu haupo peke yako wapo maelfu ya watu hawaamini katika mola mlezi.

Lakini utambue uwepo wa mola mlezi yupo na anatenda miujiza na mambo ya ajabu katika ulimwengu wake.

Wewe hapo hebu jiulize mungu amekuepusha na mambo mangapi mabaya na upo salama mpaka Leo hii
 
Mimi nikijiangalia tu naprove kwamba Kuna mtaalam alitutengeneza asee sisi sio wa bahati mbaya. We jitathmini tu jinsi ulivyoumbwa alaf jiulize hakuna designer
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น sina uhakika ila huyo aliyekudesign yeye nani alimdesign??
 
Mungu ni muumba
Ameumba ulimwengu huu tunaoufaham wenye Dunia ambayo sisi viumbe tunaishi
 
Huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
imani katika Mungu ni suala la imani na si lazima litathminiwe kwa njia za kisayansi au kifalsafa. Ni jambo la kibinafsi na linaweza kuathiriwa na malezi, tamaduni, uzoefu binafsi, na tafakari ya kiroho.kwahiyo unapotaka kuprove spiritual things scientifically unakosea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ