Dunia haijawahi kubadilika kwahyo mungu ni huyo huyo mmoja tuuuu ulishawahi kwenda nje ya ulimwengu huu ukagundua kua Kuna kitu kimekosekana kwenye huu ulimwengu wetu tunaoishi Mimi na wewe๐น๐น๐น sina uhakika ila huyo aliyekudesign yeye nani alimdesign??
Katika maarifa unayotafuta pia tafuta iwapo kama dish halijayumba.Habari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! ๐
This is an a priori logical fallacy.Mungu ni muumba
Ameumba ulimwengu huu tunaoufaham wenye Dunia ambayo sisi viumbe tunaishi
Wewe utanichonganisha na watu punde si punde ๐คฃ๐คฃ๐น๐น๐น Alooo
Kiranga nikuulize na wewe huu ulimwengu tunaoishi wenye Kila kitu very perfect ulitokea tu Kwa bahat mbaya ????This is an a priori logical fallacy.
Ume assume Mungu yupo kabla ya ku prove.
Thibitisha Mungu yupo.
Sasa uko hapa kufanya nini?Binafsi sipendi kubishana kisa dini hapana sipendi kabisa
Zama zipi?kwa sababu maandiko yapo katika biblia takatifu na Quran tukufu maandiko yanathibitisha kuwepo katika zama mbali mbali hasa watu kukataa kuhusu mungu haupo peke yako wapo maelfu ya watu hawaamini katika mola mlezi.
Lakini utambue uwepo wa mola mlezi yupo na anatenda miujiza na mambo ya ajabu katika ulimwengu wake.
Wewe hapo hebu jiulize mungu amekuepusha na mambo mangapi mabaya na upo salama mpaka Leo hii
Hivi ukisema Mungu yupo unamaanisha yuko wapi?Kusema hakuna Mungu ni moja ya upumbavu wa kujutia.
Sizungumzii dini, Hata bila ya uwepo wa hizi dini,bado Mungu yupo.
Hii freewill ni illusion tu.Tumepewa hiari ya kuchagua (freewill) kaa utafakari zaidi kama bado unaishi
Kwanza kabisa, si kweli kwamba ulimwengu huu una kila kitu very perfect.Kiranga nikuulize na wewe huu ulimwengu tunaoishi wenye Kila kitu very perfect ulitokea tu Kwa bahat mbaya ????
Hata kama hatujibiwi maswali yetu na viulizi vyetu na mungu alieumba ulimwengu huu , haiwezi ikawa Sababu kwamba eti mungu hayupo
kabla sijaendelea mbele zaidi nikukumbushe siku zote mwana wa adamu husahau kabisa kabisa hasa uwepo wa mungu.Sasa uko hapa kufanya nini?
Kwa nini hukubaki hukohuko na hiyo dini yako?
Kilicho kuleta hapa ni nini?
Zama zipi?
Miaka ipi? Miezi ipi? Tarehe ipi na ipi?
Hizo Hekaya za Quran na Biblia mbona hazija specify muda exactly?
Namaanisha kuwa ulimwengu tunaoishi hatuwezi kuulinganishaKwanza kabisa, si kweli kwamba ulimwengu huu una kila kitu very perfect.
Ukisema ulimwengu huu una kila kitu very perfect unamaanisha nini?
Nimei pronpt Meta AI hapa.Habari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! ๐
Na wewe nipe sababu ya kusema hii Dunia haiko perfect, nini kimekosekana kwenye hii Dunia au nini kimekosekanaKwanza kabisa, si kweli kwamba ulimwengu huu una kila kitu very perfect.
Ukisema ulimwengu huu una kila kitu very perfect unamaanisha nini?
Wewe hujaelewa nilicho kiandika kabisa ,hapo mwazo church lilizuia mwanamke kufanyiwa surgery, walitaka mwanamke azae Kwa uchungu Kwa bible ilivyo andikwa.Wengi wanazaa Kwa uchungu...kuwepo Kwa wanaozaa Kwa oparesheni kutokana na changamoto zao haizuii kuona ukubwa wa muumba wetu ,na tumnamshukuru sana Kwa uwezo aliotupa binadamu kusaidia ambao wanachangamoto ya kuzaa Kwa kawaida..mpe Maua yake mungu asee
Kwanza kabisa, ujinga ni imperfection.Na
Na wewe nipe sababu ya kusema hii Dunia haiko perfect, nini kimekosekana kwenye hii Dunia au nini kimekosekana
๐น๐น๐นKuna sehemu nimekushikia fimbo kukulazimisha au kumlazimisha mtu Mungu hayupo?
Na wewe kama unajua huyo Mungu yupo kaa kimya, umwache huyo Mungu ajiongelee mwenyewe kama yupo.
Kwa nini unahangaika kumuongelea huyo Mungu?
Kwa nini unahangaika kuelezea wengine juu ya uwepo wa huyo Mungu?
Kwa nini Hukai kimya, Huyo Mungu ajiongelee mwenyewe kama yupo?
Unajitekenya, halafu unacheka mwenyewe, eti? Utaishije bila Mungu, wakati Mungu huyo unayemkana ndiye anayekutunza na unaishi kwa amani kwa vile amekupa afya na ulinzi?Habari wana-JF!