Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Mkuu pitia Historia kidogo, bila uwepo wa Dini ungejua Je kuna Mungu.

Na Dini ndio utamaduni ulio ua watu wengi Zaidi duniani kuliko ustaarabu wowote ule.
 
Kipindi nimejitambua kwenye hicho kifungo nilifuatwa na viongozi wa dini mno , kidogo nirushe ngumi , nilikua tayari kukichafua kuliko kurudi kwenye hilo gereza la fikra.
Khaaaaa.!! 😹😹
 
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.!
Nadhani bado uko kwenye ukinzani.. Mafundisho potofu ya dini ndio yamekufanya ufikie huu uamuzi
 
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.!
Nadhani bado uko kwenye ukinzani.. Mafundisho potofu ya dini ndio yamekufanya ufikie huu uamuzi
 
Uwe na amani ....
 
kabla sijaendelea mbele zaidi nikukumbushe siku zote mwana wa adamu husahau kabisa kabisa hasa uwepo wa mungu.
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye kusahau uwepo wake?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kusahau uwepo wake?

Huoni huyo Mungu sio mkamilifu kwa kuumba binadamu wenye kusahau uwepo wake?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Wewe unaonekana kijana mdogo mwenye kujitoa ufahamu na KUAMINI ya kwamba hakuna mungu. Je nahitaji uthibitishe kwanini hakuna mungu.
Unayedai Mungu yupo ni wewe, Hivyo wewe ndiye unapaswa kuthibitisha madai yako.

Sasa wewe unasema Mungu yupo, Halafu unataka mimi nikuthibitishie madai yako?

Hivi uko timamu kweli huko kichwani mwako?
Mungu mtukufu anakupenda Sana pia anakupa rehema zake kwa maana hasira zake ni kali mno hakuna wa kuzuia.
Huyo Mungu kama ana hasira aje hapa adhihirishe hizo hasira zake.

Sio wewe kubaki kumuongelea na kumtetea.
Kwa hiyo dini ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu?
 
Mkuu unachanganya dini na MUNGU mimi ninaamini Mungu hana uhusiono na dini ila dini ndio zinauhusiono na MUNGU.

Tatizo linaanza watu wengi wanapomfikilia Mungu wana refers katika dini walizokulia nazo

Dini zinanafasi yake lakini ukichanganya dini na Mungu lazima uchanganyikiwe kwasababu katika dini kuna sheria zilizotungwa na watu kwa utashi wao wakachanganya na mafunuo ya Mungu kupitia mitume na manabii.

Note: sizani kama kunamahali Mungu aliandaa mpango wakuleta dini. Hakuzindua dini yeyote....

Na kumjua Mungu sio lazima ufuate dini fulani, kinachotakiwa ni Upendo na Imani.
 
Kwani,mtu kutoamini unachoamini wewe,ndo kutokuwa na akili? Hoja nyingine haihitaji malumbano. Yawezekana kweli ukawa na uhakika,na vigezo na vielelezo. Kama vipo,unatoa,unaelimisha. Kama havipo,na wewe pengine wanaopinga wana facts zao na wanazitoa.
Umekurupuka mkuu.
Ungefatilia mjadala toka nimeanza nae, ni yeye mwenyewe kasema hana akili sio mimi. Kasome comment za juu kabla ya hiyo
 
Hii imeenda ✍️
 
Kama kuna ulimwengu mwingine usio onekana, Wewe uliuona wapi huo ulimwengu usionekana ukajua upo?

Kama huo Ulimwengu hauonekani, wewe uliwezaje kuuona?

Kama umeweza kuuona ulimwengu usio onekana, Huoni kwamba tayari huo ni ulimwengu unao onekana?
Bado anahema kaka 😹😹
 

Attachments

  • IMG_3012.jpeg
    69.3 KB · Views: 3
Kwahyo mimi na wewe tunaobishana tu wajinga ?? Iweje tuwe na mawazo yanayolandana wakati huo tumeishi mazingira tofauti
Huenda utofauti huo ukawa ni katika harakati za ku balance mambo.
Dunia yenye watu wenye uelewa mmoja ndio unahisi ingekua perfect it means hata mambo ya biashara yasingetokea mana Ili biashara iende lazima ujinga wa mtu mmoja umfaidishe mtu mwingine
 
Huo ubongo aliuumba mungu , ubongo umeumbwa well perfect na mungu ili umsaidie binadam kuvumbua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…