Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Ukishasema hutambui uwepo wa Mungu mimi na wewe hatuna tena cha kujadili.

Tunaomtambuwa Mungu uwepo wake kama si yeye tungeshazikwa zamani kwa vita tulivyopigwa lakini ni Mungu tu ndiye ameendelea kutupigania.

In principal kama huamini Mungu yupo mimi na wewe hatuna cha kujadili na Mungu huwa hapiganiwi na binadamu yeye ndio anatupigania.
Mkuu pitia Historia kidogo, bila uwepo wa Dini ungejua Je kuna Mungu.

Na Dini ndio utamaduni ulio ua watu wengi Zaidi duniani kuliko ustaarabu wowote ule.
 
Kipindi nimejitambua kwenye hicho kifungo nilifuatwa na viongozi wa dini mno , kidogo nirushe ngumi , nilikua tayari kukichafua kuliko kurudi kwenye hilo gereza la fikra.
Khaaaaa.!! 😹😹
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.!
Nadhani bado uko kwenye ukinzani.. Mafundisho potofu ya dini ndio yamekufanya ufikie huu uamuzi
 
Uwe na amani ....
 
kabla sijaendelea mbele zaidi nikukumbushe siku zote mwana wa adamu husahau kabisa kabisa hasa uwepo wa mungu.
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye kusahau uwepo wake?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kusahau uwepo wake?

Huoni huyo Mungu sio mkamilifu kwa kuumba binadamu wenye kusahau uwepo wake?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Wewe unaonekana kijana mdogo mwenye kujitoa ufahamu na KUAMINI ya kwamba hakuna mungu. Je nahitaji uthibitishe kwanini hakuna mungu.
Unayedai Mungu yupo ni wewe, Hivyo wewe ndiye unapaswa kuthibitisha madai yako.

Sasa wewe unasema Mungu yupo, Halafu unataka mimi nikuthibitishie madai yako?

Hivi uko timamu kweli huko kichwani mwako?
Mungu mtukufu anakupenda Sana pia anakupa rehema zake kwa maana hasira zake ni kali mno hakuna wa kuzuia.
Huyo Mungu kama ana hasira aje hapa adhihirishe hizo hasira zake.

Sio wewe kubaki kumuongelea na kumtetea.
Kwa mtazamo wangu kupitia maandiko yako basi ni dhahiri hujapitia katika mafundisho ya kimungu kanisani au msikitini.

Ukweli ni kwamba kwa Karne ya miaka 17 wazungu walitumia biblia kama fimbo ya kuingia katika makoloni yake na hatimaye kuitafsirisha dini sehemu ya biashara pia na waarabu ni hivyo hivyo. Kwahiyo mkuu usipende kuongelea jambo ambalo huna uhakika kuwa eti mungu hayupo.
Kwa hiyo dini ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu?
 
Nimei pronpt Meta AI hapa.

Me: What are the problems of an overly religious society?

Meta AI: An overly religious society can face several problems, including:

1. Intolerance and discrimination: Against those who hold different beliefs or no beliefs.
2. Restriction of individual freedoms: Limiting personal choices and autonomy.
3. Science and progress hindrance: Rejecting scientific advancements and critical thinking.
4. Social divisions and conflicts: Creating tensions between different religious groups.
5. Lack of critical thinking and education: Prioritizing dogma over knowledge and inquiry.
6. Oppression of minorities and women: Justifying discrimination through religious texts.
7. Mental health issues: Guilt, shame, and anxiety from strict religious expectations.
8. Economic stagnation: Prioritizing religious institutions over economic development.
9. Political manipulation: Using religion to control and manipulate citizens.
10. Human rights violations: Justifying harmful practices through religious beliefs.
11. Lack of artistic and cultural expression: Restricting creative freedom.
12. Fear and mistrust: Encouraging fear of hell, damnation, or divine retribution.
13. Resistance to social progress: Opposing social reforms and equality.
14. Educational limitations: Restricting access to comprehensive education.
15. Healthcare limitations: Restricting access to medical care and family planning.

It's essential to strike a balance between religious freedom and individual rights, promoting tolerance, inclusivity, and critical thinking.

(Note: These problems can arise in societies where religion dominates all aspects of life, but not necessarily in societies with a healthy balance of religion and secularism.)
Mkuu unachanganya dini na MUNGU mimi ninaamini Mungu hana uhusiono na dini ila dini ndio zinauhusiono na MUNGU.

Tatizo linaanza watu wengi wanapomfikilia Mungu wana refers katika dini walizokulia nazo

Dini zinanafasi yake lakini ukichanganya dini na Mungu lazima uchanganyikiwe kwasababu katika dini kuna sheria zilizotungwa na watu kwa utashi wao wakachanganya na mafunuo ya Mungu kupitia mitume na manabii.

Note: sizani kama kunamahali Mungu aliandaa mpango wakuleta dini. Hakuzindua dini yeyote....

Na kumjua Mungu sio lazima ufuate dini fulani, kinachotakiwa ni Upendo na Imani.
 
Kwani,mtu kutoamini unachoamini wewe,ndo kutokuwa na akili? Hoja nyingine haihitaji malumbano. Yawezekana kweli ukawa na uhakika,na vigezo na vielelezo. Kama vipo,unatoa,unaelimisha. Kama havipo,na wewe pengine wanaopinga wana facts zao na wanazitoa.
Umekurupuka mkuu.
Ungefatilia mjadala toka nimeanza nae, ni yeye mwenyewe kasema hana akili sio mimi. Kasome comment za juu kabla ya hiyo
 
Gamboshi sio ulimwengu wa roho.

Gamboshi ni eneo katika ulimwengu huu huu unao onekana na kuthibitishika upo.

Huelewi yanayotendeka Gamboshi kwa vile huna maarifa nayo. Ndio maana unadai Gamboshi ni ulimwengu wa roho.

Wana Gamboshi wenye utaalamu wao wanajua maarifa wanayotumia kwenye ulimwengu huu huu unao onekana ambayo wewe huna hayo maarifa ndio maana unadai kwamba ni ulimwengu wa roho.

Hakuna cha ulimwengu wa roho, sema wewe huna maarifa ya watu wa Gamboshi wanawezaje kufanya vitu kwenye ulimwengu huu huu unao onekana mpaka wewe unabaki kushangaa.

Kila kitu ni maarifa tu, Hakuna uchawi.
Hii imeenda ✍️
 
Kama kuna ulimwengu mwingine usio onekana, Wewe uliuona wapi huo ulimwengu usionekana ukajua upo?

Kama huo Ulimwengu hauonekani, wewe uliwezaje kuuona?

Kama umeweza kuuona ulimwengu usio onekana, Huoni kwamba tayari huo ni ulimwengu unao onekana?
Bado anahema kaka 😹😹
 
Attachments

  • IMG_3012.jpeg
    IMG_3012.jpeg
    69.3 KB · Views: 3
Kwanza kabisa, ujinga ni imperfection.

Dunia hii ina ujinga mwingi.

Mjadala huu unaonesha kuna ujinga sehemu fulani katika uelewa wetu wa habari za Mungu, ndiyo maana hatuelewani.

Wote tungekuwa na uelewa nzuri, kungekuwa hakuna mjadala. Wote tyngeelewana vizuri.

Huu mjadala tu unaonesha ulimwengu hauko perfect. Una ujinga. Ujinga ni ukosefu wa maarifa, ni imperfection.

Kwenye ulimwengu perfect hakuna ujinga wowote.
Kwahyo mimi na wewe tunaobishana tu wajinga ?? Iweje tuwe na mawazo yanayolandana wakati huo tumeishi mazingira tofauti
Huenda utofauti huo ukawa ni katika harakati za ku balance mambo.
Dunia yenye watu wenye uelewa mmoja ndio unahisi ingekua perfect it means hata mambo ya biashara yasingetokea mana Ili biashara iende lazima ujinga wa mtu mmoja umfaidishe mtu mwingine
 
Wewe hujaelewa nilicho kiandika kabisa ,hapo mwazo church lilizuia mwanamke kufanyiwa surgery, walitaka mwanamke azae Kwa uchungu Kwa bible ilivyo andikwa.

Hata ivyo huo ujuzi wa upasuaji ni binadamu mwenyewe kajifunza through try and errors mpaka wakafanikiwa kufanya surgery kwa mafanikio makubwa , Mungu hakuwasaidia Kwa lolote kufanikisha upasuaji huo .Kwa mama mjauzito.

Ina maana wewe Historia ya kanisa, Islam bado huzijui ?
Huo ubongo aliuumba mungu , ubongo umeumbwa well perfect na mungu ili umsaidie binadam kuvumbua mambo
 
Back
Top Bottom