Baada ya uasiMwanadamu Asiangamie na nini?
Na uasi wa mmoj wa high table member.Kuangamia huko kulitokana na nini?
Hakuumba mwanadamu ili aangamie, ila kuangamia kulitokn na uasi.Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye kuangamia?
Hakutk kuwa dictator kwa kuwa command watu wafanye atakavyoIlhali aliweza kuumba binadamu wasioweza kuangamia
AlikuumbaHivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kuasi?Baada ya uasi
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je Hakujua kwamba huyoNa uasi wa mmoj wa high table member.
Mungu huyo hakujua kwamba uasi utatokea, Audhibiti na kuuzuia mapema usitokee?Hakuumba mwanadamu ili aangamie, ila kuangamia kulitokn na uasi.
Kama huyo Mungu alitaka watu wafanye watakavyo, kinacho mkera na kumuudhi akiona binadamu wakifanya uovu ni nini?Hakutk kuwa dictator kwa kuwa command watu wafanye atakavyo
Hakuna Mungu aliyeniumba kwa vile huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Alikuumba
Aliesababisha uasi sio mwanadamu, ni malaika.Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je Hakujua kwamba huyo
"High table member" atakuja kumuasi, Amdhibiti na kumzuia mapema?
Hajawahi kukerwa na dhambi ya mwanadamu. Ila ametoa njia ya mwanadamu kuepuka hiyo dhambi.Kama huyo Mungu alitaka watu wafanye watakavyo, kinacho mkera na kumuudhi akiona binadamu wakifanya uovu ni nini?
Kama huyo Mungu hapendi uovu na uasi, Alishindwaje kuumba binadamu wasio weza kumuasi na kutenda maovu?
Ulitokeaje?Hakuna Mungu aliyeniumba kwa vile huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
That God doesn't exist, that's why he cannot reveal himself.Don't limit God , nyie mnajitahidi kum limit God ,
Huyo malaika aliwezaje kusababisha uasi kama huyo Mungu aliumba kila kitu kwa ukamilifu?Aliesababisha uasi sio mwanadamu, ni malaika.
Kama huyo Mungu hakerwi na dhambi, kwa nini atoe njia ya kuepuka dhambi?Hajawahi kukerwa na dhambi ya mwanadamu. Ila ametoa njia ya mwanadamu kuepuka hiyo dhambi.
Nimetokea kwa kuzaliwa na wazazi wangu Baba na Mama.Ulitokeaje?
I second youβ¦Religion is a fictional identity.
Religion is a mental slavery.
Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.
Religion is a drug, religious leaders are the dealers their followers are the addicts.
Religion is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.
Religion is a programing system for collecting money from people who are unable to think.
Religion is a Scam.
Usidhani kila mtu humu ni mtoto kama ulivyo wewe, una akili mbovu sanaHivi wewe huoni hapo wameandika
"Watu wenye maarifa maalumu"
Au wewe ni kipofu na hujui kusoma sawasawa.
Hebu soma vizuri hii Attachment uliyoituma...ππ
View attachment 3063862View attachment 3063862
Na ndipo waamini mnapoishiaga hapoHili swali tutakuja kumuuliza yeye mwenyewe,
Unajua wewe ni Tabularasa.Usidhani kila mtu humu ni mtoto kama ulivyo wewe, una akili mbovu sana
Mwanzo ulisemaje ? Na hapa sasa unasemaje ?
KIla kitu kina chanzo chake?Je tu ki conclude kuwa mungu hana aliemuumba
Mkuu, mimi pia ni kijana, sina afya njema na wala siamini uwepo wa Mungu.Kwa sasa hivi kinachokupa jeuri ni umri(ujana) na afya ngoja, sikuombei mabaya lakini ikifika wakati mwili na akili zimechoka lazima utarudi kwenye mstari tu.
Unajua π₯, ila bado hujajua zaidi pata elimu zaidi.Freemason ni kikundi cha watu tu wenye nguvu kubwa kiuchumi, kisiasa na kwenye jamii kiujumla.
Hakuna uhusiano wa Freemason na uwepo wa shetani.
Ndio maana mtu kapuku maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi, Huwezi kutaka kujiunga Freemason ili utajirike halafu ukubaliwe
Freemason ni kikundi cha matajiri tu kinacho unganisha watu ambao tayari wana nguvu za kifedha, nguvu kiuchumi, kisiasa, kibiashara n.k katika jamii.
Hata ukitaka kujiunga nao sharti uwe na nguvu fulani kisiasa au kiuchumi.
KAma ww ni mchungaji lazma utahitaji pesa mkuuHata 10 sitak
Hakuna shetani aliyekaa mahali anaye operate na kuongoza kikundi kinacho itwa Freemason.Um
Unajua π₯, ila bado hujajua zaidi pata elimu zaidi.
Wewe umekubuhu!Unajua wewe ni Tabularasa.
Nakwambia kwamba hakuna maarifa bila watu.
Ila wewe unadai kuna maarifa ambayo yapo yenyewe tu pasipo watu.
Ukiambiwa uthibitishe hayo maarifa yanafanywa na nani hujui, ila unakataa kwamba maarifa hayo hayafanywi na watu.
Sasa eleza na thibitisha ni nini kinafanya hayo maarifa bila kuhusisha watu.
Huna hoja wewe nenda kalale.Wewe umekubuhu!
Upumbavu ingekua ni level ya elimu wewe una PhD
Ngoja nkuache na upumbavu wako, Humu tunajadili na watu walipaswa wawe mirembe
Ebu quote ni wapi nmedai maarifa yapo tu yenyewe bila watu,Huna hoja wewe nenda kalale.
Sio kuongea vitu huna uthibitisho navyo ila unafosi fosi mawazo yako uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Hapa unatumia wazee ambao ni watu, kutaka waje wani elezee nguvu ambayo unadai hapa chini siyo ya kibinadamu...πEbu quote ni wapi nmedai maarifa yapo tu yenyewe bila watu,
Usipofanya hivyo, utakua umethibitisha madai yangu kuwa wewe ni mpumbavu
Umehitimisha hakuna nguvu ya ziada tofauti na wazee wenyewe, Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza
Hapa ulisema,πhayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu.
Vipi kama ukapata bahati ya kukutana na wazee wakakueleza hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu utakubali na wewe kufuata maelekezo uzipate hizo nguvu ?Hapa unatumia wazee ambao ni watu, kutaka waje wani elezee nguvu ambayo unadai hapa chini siyo ya kibinadamu...π
Hapa ulisema,π
Hayo maarifa yanatokana na nguvu ambazo sio za kibinadamu.
Halafu tena hapo juu unasema wazee ambao ni wanadamu waje wanielezee nguvu hizo ambazo sio za kibinadamu.
Kwa nini hiyo nguvu ambayo siyo ya kibinadamu haiji kujieleza yenyewe bila hao wazee?
Maana hao wazee ni binadamu ambao ni watu.
Na wewe ulisema hapo juu kwamba hizo nguvu sio za kibinadamu.