Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Ndio maana amekwambia ni jambo personal,Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Lakini ili kujua kwamba unacho kiamini ni kweli kipo lazima utoe uthibitisho ili tuhakikishe.
Yeye binafsi alishajithibitishia, hivyo wewe kuita ni imani ya uongo haibadili kitu chochote kwake
Mimi nkikutana na mbwa mwenye miguu nane nkaja kuieleza jamii nmekutana na mbwa mwenye miguu nane hata wakatae ikiwezekana kuniua kabisa haitobadili ukweli kuwa nlikutana na mbwa wa miguu nane