Smartkahn
Ukishaona kuna watu hawamuamini Mungu fulani anayedaiwa kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotena upendo wote, huko kutomuamini ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Angekuwepo, kwa sifa zake hizo za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, kila mtu angemjua vizuri kabisa na kumuamini kwa namna ambayo mjadala wa Mungu kuwapo au kutokuwapo usingeweza kufanyika.
Yani ukiona utata katika uelewa juu ya kuwepo kwa huyo Mungu tu,maana yake ni kwamba huyo Mungu hayupo, angekuwepo, kusingekuwa na utata popote, kwa ntu yeyote, muda wowote.
Huelewi kipi hapo?