Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Yani kuhitaji kufuata kanuni yoyote nako ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo.

Hili ni jambo ambalo, katika ulimwengu ambao Mungu huyo yupo, lilitakiwa kuwa guaranteed default ambalo halihitaji uamuzi wowote.

Ukishaona habari za kufuata kanuni ujue hilo ni changa la macho la kuficha ukweli kuwa Mungu hayupo.
Umesema umesoma biblia pia, Ungekua umesoma usingeandika kitu kama hiki
 
Ni jambo gani Duniani halihitaji kanuni ???????

Hata wewe kufanikiwa kwenye maisha utahitaji kanuni za kufuata
Mambo yanahitaji kanuni kwa sababu Mungu hayupo.

Tunahitaji kusoma na kujifunza mambo kwa kanuni, kwa tabu kubwa, kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, Mungu huyu asingependa viumbe wake wataabuke ili kujua mambo, angewapa ujuzi tu wajue mambo bila kutaabika.

Na cha msingi kabisa, angetupa ujuzi kuhusu uwepo wake, kwa namna ambayo kika kiumbe angemjua vizuri, bila utata, na hata mjadala huu wa Mungu yupo au hayupo, usingewezekana kufanyika.

Ukishaona mjadala wa kubishana Mungu yupo au hayupo tu, mjadala huo wenyewe ni uthibitisho Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, mjadala huo usingewezekana kuwepo.

Yani mimi na wewe kubishana kuhusu Mungu yupo au hayupo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.

Na 7navyozidi kubisha kunielewesha Mungu yupo, ndivyo unavyozidi kuthibitisha Mungu hayupo.

Angekuwepo, usingehitaji kunielimisha, Mungu mwenyewe angejidhihirisha kwangu kwa namna ambayo wewe usingehitaji kuthibitisha lolote.
 
Huu ni mtazamo wako, Wewe umeamua kuishi kwa kufuata mitizamo yako binafsi

Upo sahihi 🤝
 
Ndio maana nmesema mimi sio mdau wa hivyo vitabu
Unaji contradict.

Mara unaandika hivi.

"Umesema umesoma biblia pia, Ungekua umesoma usingeandika kitu kama hiki"

Kauli ambayo inanifanya nifikiri wewe ni mdau wa Biblia na unaitetea.

Halafu, unaandika wewe si mdau wa hivyo vitabu.

Which is which now?

Unaitetea Biblia au wewe si mdau wa Biblia?

Hueleweki unasimamia wapi.
 
Huu ni mtazamo wako, Wewe umeamua kuishi kwa kufuata mitizamo yako binafsi

Upo sahihi 🤝
Hapana, huu si mtazamo wangu, hii ni mantiki, logic.

Mungu hayupo, ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo. Ndiyo maana huwezi kutatua contradictions kuhusu uwepo wa Mungu kama Epicurean Paradox.

Ukibisha.

1. Thibitisha Mungu yupo.
2. Ondoa contradictions kwenye dhana ya kuwepo Mungu kama Epicurean Paradox.
 
Smartkahn

Ukishaona kuna watu hawamuamini Mungu fulani anayedaiwa kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotena upendo wote, huko kutomuamini ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Angekuwepo, kwa sifa zake hizo za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, kila mtu angemjua vizuri kabisa na kumuamini kwa namna ambayo mjadala wa Mungu kuwapo au kutokuwapo usingeweza kufanyika.

Yani ukiona utata katika uelewa juu ya kuwepo kwa huyo Mungu tu,maana yake ni kwamba huyo Mungu hayupo, angekuwepo, kusingekuwa na utata popote, kwa ntu yeyote, muda wowote.

Huelewi kipi hapo?
Mkuu kuna msemo unasema "No research no right to say"

Je Wewe binafsi umeshawahi kufanya jitihada zozote za uwepo wa Mungu kwa kuzingatia kigezo cha Roho Mtakatifu na imani ukiachilia mbali mafundisho ya nyumba za ibada!?
============================

Usiku wa Leo nimestuka usingizini baada ya kuota nipo na CANTER mbovu imechoka balaa kila nikijitahidi kuiendesha inanishinda nikirekebisha hiki kinaregea kingine nikiweka sawa hiki kile kinavurugika, ghafla ndoto ika-shift Nikajikuta nipo na pikipiki hio ndio imechoka zaidi nilikua nataka kuitumia sasa kila nikipakia mzigo stand inatenguka pikipiki liko legelege nimeangaika nalo weee!? Nikachemka kufanya nilichokua nakifanya nikiwa nimechoka na nimekata tamaa, wazo likanijia niombe msaada kwa watu wazuefu wakutengeneza hizi pikipiki(hapa wazo lilibadilisha ndotoni kua sio kukitumia /kuendesha tena pikipiki ile bali kukitengeneza) wakati huo najiwazia moyoni kwanini nahangaika/nang'ang'ana ilihali mimi sio fundi /mtaalam /mzoefu na haya mambo. Nikiwa nimechoka nakukata tamaa watu mbalimbali waliokua wananiangalia pale nikiwa na wazo la kuomba msaada kwa wazoefu nikastuka.

Sina uhakika saana na maana yake ila nadhani nilikua na hallucinate tu.
 
Roho ni nini na unaweza kuthibitisha kuwa ipo?

Maana isije kuwa umeshindwa kuthibitisha uongo mmoja (kuwa Mungu yupo), unachomekea uongo mwingine (kuwa Roho ipo).
 
Roho ni nini na unaweza kuthibitisha kuwa ipo?

Maana isije kuwa umeshindwa kuthibitisha uongo mmoja (kuwa Mungu yupo), unachomekea uongo mwingine (kuwa Roho ipo).
Chukua muda wako kujifunza, Utapata maarifa mengi

Wewe kinachokusumbua ni kuwa hauna maarifa kuhusu haya mambo,

Kama kila kitu ungekua unahitaji uthibitisho kwanza kabla ya kujifunza nna uhakika hata sayansi usingekuja kuielewa, Lakini ulikubali kwanza kujifunza ukapata maarifa kisha ukaielewa.
 
Mimi kuhitaji kujifunza ili kumjua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote nako ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu, Mungu huyo angekuwapo, angejiweka wazi kwa kila mtu amjue by default bila kuhitaji kujifunza.

Ukiona mtu yeyote anahitaji kujifunza ili kumjua Mungu huyu, huo ni uthibitisho kuwa huyo Mungu hayupo.

By definition.

Huelewi wapi?
 
Misimamo yako haina mashiko mkuu. Kwamba Hautambui Uwepo wa Mungu ila uwepo wa sheria za nchi ambazo binadamu ndio kaziweka ndio unazitambua na kuzifwata. Pathetic nenda kwa mshauri upate counselling something is wrong in your head
 
Chukua muda wako kujifunza, Utapata maarifa mengi

Wewe kinachokusumbua ni kuwa hauna maarifa kuhusu haya mambo,

Kama kila kitu ungekua unahitaji uthibitisho kwanza kabla ya kujifunza nna uhakika hata sayansi usingekuja kuielewa, Lakini ulikubali kwanza kujifunza ukapata maarifa kisha ukaielewa.
Wengi huangamia kwa kukosa maarifa mkuu. Mtu asiyeelewa Roho,Nafsi na Mwili vinatendaje kazi ni wa kuachana naye anakupotezea muda
 
Habari wana-JF!

Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.

Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.

Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.

Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.

Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:

1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.

2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.

3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.

4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.

5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.

6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.

7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.

8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.

9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.

10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".

Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.

Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.

The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio wapumbavu?

Uwepo wa binadamu wapumbavu, wasio mtambua muumba wao kama Mungu wao,

Ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu muumba, Kazi yake ya uumbaji ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu ambao ni wapumbavu.

Na automatically Mungu huyo ni Mpumbavu vilevile kwa kuumba binadamu wenye upumbavu uliotokana na kazi yake ya uumbaji
Lengo la mnyama 666 limetimia

Kwanza mnyama 666 anakuingizeni katika dini yake ya uongo ambayo ni ukristo

Kisha unajiongeza mwenyewe kuongeza makufuru

Hata siku Moja hauwezi kukumkuta mtoto aliyezaliwa na kulelewa katika uislam aje kusema na kuamini kuwa hakuna Mungu

Haya yanayokukuteni ni matokeo ya kudanganywa na Wazungu na ndio lengo lao

Poleni sana wakristo Jahannam inakusubirini Kwa hamu kabisa
 
Kuangamia kivipi?

Kwanza thibitisha uwepo wa hiyo roho na nafsi kisha ndio uelezee utendaji kazi wake?
Iv Ile hali unakua umelala usiku alaf ghafla tu ukaanza kuhisi kama Kuna kitu hakipo sawa mara kidogo unajiona huna uwezo wa kutingisha kiungo chochote Cha mwili wako alaf hata ukitoa sauti ya kuomba msaada inakua kama unajiskia peke ako tu
Unakabwa Kwa dakika kama 5 iv unahangaika tu kitandan Huwa inakuaga ni nini? Nme experience hii kitu first time npo form one boarding ,nikasimulia wenzangu asubuhi Kuna baadh ya watu na wenyewe wakasema hata Mimi pia imenitokea majuzi ,
Hio kitu Huwa ni nini ?
 
Lengo la mnyama 666 limetimia

Kwanza mnyama 666 anakuingizeni katika dini yake ya uongo ambayo ni ukristo

Kisha unajiongeza mwenyewe kuongeza makufuru

Hata siku Moja hauwezi kukumkuta mtoto aliyezaliwa na kulelewa katika uislam aje kusema na kuamini kuwa hakuna Mungu

Haya yanayokukuteni ni matokeo ya kudanganywa na Wazungu na ndio lengo lao

Poleni sana wakristo Jahannam inakusubirini Kwa hamu kabisa
Kuna mwislam anaitwa Dr Zakir naik aliwahi kusema uki fata Kila kilicho fundisho la yesu basi inshallah unaenda mbinguni.
 
Kuna mwislam anaitwa Dr Zakir naik aliwahi kusema uki fata Kila kilicho fundisho la yesu basi inshallah unaenda mbinguni.
Yupo sahihi Kwa sababu Yesu dini yake ni uislam na Mungu wa Yesu ni Allah
 
Kwa sababu, Mungu huyo angekuwapo, angejiweka wazi kwa kila mtu amjue by default bila kuhitaji kujifunza.
Mungu kajifunua kwa namna mbili au tatu:

1. Kupitia uumbaji(by default unaona kabisa viumbe vilivyo hai na visivyo hai na wewe mwenyewe ukiwemo.) Sasa sijui we unafikilia ulimwengu ulitokae wapi.

2. Kupitia neno (mafunuo) (kuna maandiko kwenye biblia na baadhi ya vitabu vingine hayakuandikwa na kutunwa kwa uwezo wa mwanadamu)) .

3.ROHO MTAKATIFU (ni kama mafunuo na hii ni individually) hapa ndipo ulipokwamia mkuu.
 
Back
Top Bottom