kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tatizo lipo hapa "Mungu ni mweza ya yote, Mungu ni mwema " ama awe na uwezo asiwe na wema, au awe na wema ila hana uwezo. Kwa kuwa hakuna jibu basi nikae na amani bila wazo la Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza onyesha uwepo wa huyo Mungu kisha umthibitishe yupo.Misimamo yako haina mashiko mkuu. Kwamba Hautambui Uwepo wa Mungu ila uwepo wa sheria za nchi ambazo binadamu ndio kaziweka ndio unazitambua na kuzifwata.
Sema huna majibu ya kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupoPathetic nenda kwa mshauri upate counselling something is wrong in your head
Nightmares.Iv Ile hali unakua umelala usiku alaf ghafla tu ukaanza kuhisi kama Kuna kitu hakipo sawa mara kidogo unajiona huna uwezo wa kutingisha kiungo chochote Cha mwili wako alaf hata ukitoa sauti ya kuomba msaada inakua kama unajiskia peke ako tu
Unakabwa Kwa dakika kama 5 iv unahangaika tu kitandan Huwa inakuaga ni nini? Nme experience hii kitu first time npo form one boarding ,nikasimulia wenzangu asubuhi Kuna baadh ya watu na wenyewe wakasema hata Mimi pia imenitokea majuzi ,
Hio kitu Huwa ni nini ?
Huyo mnyama 666 hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Lengo la mnyama 666 limetimia
Kwanza mnyama 666 anakuingizeni katika dini yake ya uongo ambayo ni ukristo
Kisha unajiongeza mwenyewe kuongeza makufuru
Hata siku Moja hauwezi kukumkuta mtoto aliyezaliwa na kulelewa katika uislam aje kusema na kuamini kuwa hakuna Mungu
Haya yanayokukuteni ni matokeo ya kudanganywa na Wazungu na ndio lengo lao
Poleni sana wakristo Jahannam inakusubirini Kwa hamu kabisa
Mbona ndoto nyingine unaweza kuzi control ?Nightmares.
Kuzi control kivipi?Mbona ndoto nyingine unaweza kuzi control ?
Wewe mbona hujiulizi na huyo Mungu alitokea wapi?Mungu kajifunua kwa namna mbili au tatu:
1. Kupitia uumbaji(by default unaona kabisa viumbe vilivyo hai na visivyo hai na wewe mwenyewe ukiwemo.) Sasa sijui we unafikilia ulimwengu ulitokae wapi.
2. Kupitia neno (mafunuo) (kuna maandiko kwenye biblia na baadhi ya vitabu vingine hayakuandikwa na kutunwa kwa uwezo wa mwanadamu)) .
3.ROHO MTAKATIFU (ni kama mafunuo na hii ni individually) hapa ndipo ulipokwamia mkuu.
Iko in kwenye ufahamu wako na inadhihirika katika mambo unayoyaona kwa machoHiyo nguvu inapimwa kwa kipimo gani?
Unahakikishaje ipo kweli na hizo habari si story za kuungaunga tu?
Hiyo nguvu ina uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Yani mfano unaweza ukai stopisha lakini hio huwezi mpk ikuache yenyewe ,Mimi baada ya kugunduaga jinsi hio hali inavyokuja Huwa naamka kabla haijanishika vizuri 😂 naamka nawasha taa alaf natulia zangu Yani akiwa anakuja huyo mkabaji unaanza kwanza kuona Kuna hali tofauti, ila saa zingine Sasa unakuta teali umeshakamatika huna Tena uwezo wa kuikataa Ile hali matokeo yake inabidi usubiri akukabe tuu mpk hizo dakika tano af anaondokaKuzi control kivipi?
Huwezi ukastopisha ndoto, Maana ukiwa usingizini ubongo na ufahamu wako unakuwa kwenye hali ya subconscious/ unconscious mind.Yani mfano unaweza ukai stopisha lakini hio huwezi mpk ikuache yenyewe ,Mimi baada ya kugunduaga jinsi hio hali inavyokuja Huwa naamka kabla haijanishika vizuri 😂 naamka nawasha taa alaf natulia zangu Yani akiwa anakuja huyo mkabaji unaanza kwanza kuona Kuna hali tofauti, ila saa zingine Sasa unakuta teali umeshakamatika huna Tena uwezo wa kuikataa Ile hali matokeo yake inabidi usubiri akukabe tuu mpk hizo dakika tano af anaondoka
Ile ndoto unaweza ukai stopisha kama una uzoefu nayo , mana saa zingine unaweza ukawa umefumbua macho kabisa alaf viungo unakua huwezi kuvi control ni kama vile unakua umemuwahi mkabaji kabla hajakukaba Ile yenyewe yenyewe , kiufupi ni ndoto ambayo Mimi Huwa inanipelekea kuhisi kuwa sipo peke angu hapaHuwezi ukastopisha ndoto, Maana ukiwa usingizini ubongo na ufahamu wako unakuwa kwenye hali ya subconscious/ unconscious mind.
Ndio maana unakuta unaota kitu ambacho huku plan kukiota ila unashtukia tu umeota kitu ambacho hukufikiria wala kuplan kuota hivyo.
Huwezi ku control subconscious mind.
Tunaweza tu, ku control conscious mind.
Mfano mwanaume ukiwa usingizini huwezi ku control uume usisimame, unashtukia tu asubuhi uume wako umesimama wenyewe.
Ila ukiwa macho hujalala, unaweza ku control uume wako usisimame,ulale tu.
Ukishafungua macho tu automatically, Unakuwa kwenye conscious mind.Ile ndoto unaweza ukai stopisha kama una uzoefu nayo , mana saa zingine unaweza ukawa umefumbua macho kabisa alaf viungo unakua huwezi kuvi control ni kama vile unakua umemuwahi mkabaji kabla hajakukaba Ile yenyewe yenyewe , kiufupi ni ndoto ambayo Mimi Huwa inanipelekea kuhisi kuwa sipo peke angu hapa
1. Ukiona unachoita uumbaji, unajuaje ni matokeo ya Mungu na si kingine chochote? Unathibitishaje hilo?Mungu kajifunua kwa namna mbili au tatu:
1. Kupitia uumbaji(by default unaona kabisa viumbe vilivyo hai na visivyo hai na wewe mwenyewe ukiwemo.) Sasa sijui we unafikilia ulimwengu ulitokae wapi.
2. Kupitia neno (mafunuo) (kuna maandiko kwenye biblia na baadhi ya vitabu vingine hayakuandikwa na kutunwa kwa uwezo wa mwanadamu)) .
3.ROHO MTAKATIFU (ni kama mafunuo na hii ni individually) hapa ndipo ulipokwamia mkuu.
Hapana, haipo. Usinilazimishe.Iko in kwenye ufahamu wako na inadhihirika katika mambo unayoyaona kwa macho
Nakubali kuwa ni muhimu kupata majibu wazi ya maswali yanayojikeza kuhusu Mungu kama kitivo cha hali ya juu ya kufikiri.Watu hatuna utashi huru kama wanavyodai Agustino na Akwinasi. Hatuna hata uamuzi tuzaliwe au tusizaliwe. Hatuamui tuzaliwe na nani, wapi, lini, hatuchagui vinasaba tutakavyorithi. Haya ni mambo yanayoamua kwa kiasi kukubwa maisha yetu yatakuwaje.
Aliyevumbua maarifa ya kutengeneza magari alijua kuwa madereva watakosea na wataleta matatizo. Lakini sio kwamba madereva wasiendeshe gari kwa sababu wataleta matatizo.Utashi huru ni njozi tu. Pia, utashi huru una contradict sifa ya Mungu kujua yote. Mtu kuwa na utashi huru maana yake ana uamuzi wa mwisho kuamua atafanya nini, Mungu akishajua tu mtu atafanya nini, maana yake ni kwamba mtu hana utashi huru.
Kwa maneno mwingine, ama mtu ana utashi huru na Mungu hana ujuzi wote, ama Mungu ana ujuzi wote na watu hawana utashi huru, mawili haya ni "mutually exclusive".
Ninaiweka hoja ya Epicurus, na majibu yake, likiwamo jibu la utashi huru, na jinsi majibu yake yote yasivyokidhi kimantiki, kwa njia ya picha ili nieleweke vizuri zaidi.
First things first,Nakubali kuwa ni muhimu kupata majibu wazi ya maswali yanayojikeza kuhusu Mungu kama kitivo cha hali ya juu ya kufikiri.
Hatahivyo, ni muhimu pia tunapotafuta majibu wazi ya maswali hayo kuzingatia ukweli kuwa mtu pia ana uwezo wa kufikiri unaomuezesha kujua na kujua kuamua bila kukosea.
Ni vizuri tukaelewa kuwa uwezo wa kufikiri wa mtu ni halisi na kwamba mtu ana huru wote.
Ni kweli kuwa bado hatuji mambo mengi kwa uwazi ikiwa ni pamoja na ulimwengu unatoka wapi na unaenda wapi na hata sisi wenyewe.
Lakini kusema kuwa hatuamui tuzaliwe au tusizaliwe: tuzaliwe na nani, wapi na lini na vinasaba gani, ni mawazo yasiyozingatia akili na kushindwa kuelewa vitu vilivyopo.
Wanaozaa ni wazazi sio Mungu. Uamuzi wa kuzaa au kutokuzaa ni wa wazazi. Kwa hiyo ni mtu mwenyewe ndiye anayeamua azae au asizae.
Wazazi ndio wanaosema wanataka kuzaa. Ndio wanaoamua kuzaa mtoto na hayo mengine yote.
Aliyevumbua maarifa ya kutengeneza magari alijua kuwa madereva watakosea na wataleta matatizo. Lakini sio kwamba madereva wasiendeshe gari kwa sababu wataleta matatizo.
Katika hoja ya akili na utashi huru kuna mambo mawili ambayo wanaopinga hoja hiyo hawayaeliwi au wanayachanganya.
Jambo la kwanza ni akili na la pili ni uhuru. Akili ndio inaanza au inatangulia utashi. Ili mtu aweze kuamua anavyotaka (utashi huru) anawajibika kujua (akili). Na uhuru maana yake ni kujua.
Mungu alimuumba mtu kuwa kama Yeye. Kuwa muumbaji. Anayetaka anakuwa kama Mungu, anaumba vitu vingine vipya kwa kutumia vitu vilivyopo. Na asiyetaka anaendelea kubaki hivyo alivyochagua.
Mungu aliwaumba watu wakiwa wema. Lakini mtu anaweza kuchagua anavyotaka. Anaweza kuchagua wema au ubaya, ukweli au uongo.
Katika fizikia tunajifunza kwamba vitu vyote vilivyopo viko katika mwendo. Na Kanisa Katoliki linafundisha kwamba ulimwengu upo safarini kuelekea utimilifu.
Huo ulimwengu mtimilifu ambao Epicurus anahoji ni kielelezo kuwa hatujaelewa vitu vyote vya asili vilivyopo vinatoka wapi na vinaenda wapi.
Katika mambo ambayo nimejifunza kwenye kitabu cha Philosophy of Religion ni kwamba mafundisho ya dini na dini kwa ujumla yanaweza kuwafanya watu wengi kushindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri na hivyo kushindwa kujua ukweli na kujua kuamua au kufanya mambo bila kukosea.First things first,
Umeandika
"Hatahivyo, ni muhimu pia tunapotafuta majibu wazi ya maswali hayo kuzingatia ukweli kuwa mtu pia ana uwezo wa kufikiri unaomuezesha kujua na kujua kuamua bila kukosea."
Huu si ukweli.
Mtu hana uwezo wa kufikiri unaomuwezesha kujua na kuamua bila kukosea.
Hoja zako zinajengwa kwenye msingi wa uongo.