Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Madai yangu yapi?
Kuna maneno umeyatumia kama "Ukweli na uhalisia" ni maneno tata ambayo yanahitaji utupe uthibitisho wa kuanzia mbinu ulizozitumia kujua kuwa hakuna muumba kama unavyosema

Huo ukweli na uhalisia umeupataje ?
 
Kuna maneno kama "Ukweli na uhalisia" ni maneno tata ambayo yanahitaji utupe uthibitisho wa kuanzia mbinu ulizozitumia kujua kuwa hakuna muumba kama unavyosema.
Dunia ipo na inathibitika ipo kwa kuonekana.

Kitu kinathibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Sasa huyo muumba mnayemuita Mungu, Hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Haonekani, Hashikiki, Hasikiki na wala Haisiki.

Muumba huyo ni mawazo ya kufikirika tu yasiyo katika ukweli na uhalisia, Ndio maana Hathibitishiki yupo kwa namna yoyote ile.
Huo ukweli na uhalisia umeupataje ?
Ukweli na uhalisia nimeupata kwenye dunia hii hii iliyopo na inayo thibitishika ipo.
 
Tuonyeshe na sisi huo ukweli na uhalisia

Ukiishia kusema tu umeupata umefanya hivi mara vile hatukuelewi
 
Universe ipo na inaonekana ipo, Huo ni ukweli na uhalisia.
Kwenye ulimwengu huu huu mimi namjua Mungu na namuhisi kwenye uwepo wa maisha yangu

Hii ni tofauti kwako, Kwanini ? kwasababu nmekuzidi maarifa ambayo wewe hauna
 
Tupe mbinu ulizozitumia kujua kuwa haonekani, hashishiki, hasikiki wala kuhisika
Huyo Mungu haonekani, hashikiki hasikiki na wala haisiki kwa vile hayupo.

Huwezi kujua kitu ambacho hakipo na hakijulikani.

Kitu kisicho kuwepo hakionekani, hakishikiki, hakisikiki na wala hakihisiki.

Na hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitika kipo.
 
Wewe ebu acha porojo zako mara moja,

Kwahiyo kitu kama hakijulikani akili yako inaishia kuwa hakiwezi kujulikana hivyo hivyo ?

Tupe mbinu ulizozitumia kubaini kwamba hashikiki, haisiki wala kuonekana
 
Mpaka pale kitu kitakapo julikana kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika ndipo unatakiwa useme kipo.

Sio kitu hakipo halafu unasema kipo bila uthibitisho.

Kama hakuna uthibitisho ni kwamba hakipo.

Kikijitokeza na kujidhihirisha kipo na sisi tukaweza kukithibitisha kipo kwa either kukiona kitu hicho, kukishika kitu hicho, kukisikia kitu hicho au kukihisi kitu hicho. Hapo tutajua kitu hicho kipo kweli.
Tupe mbinu ulizozitumia kubaini kwamba hashikiki, haisiki wala kuonekana
Kwa sababu hayupo.
 
Mpaka pale kitu kitakapo julikana kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika ndipo unatakiwa useme kipo.
Huoni unaforce vimawazo vyako na vimitizamo vyako uchwara

Mpaka itakapojulikana na nani ? Nani unayemsubiri akuhangaikie ili aje akuonyeshe ndio ijulikane kwako kuwa hicho kitu kipo ?

Uvivu uvivu tu na uzito wako wa kutafuta maarifa, Sasa kwasababu huna uwezo wowote kufanya kitu kijulikane kwako unaanza kuforce vimitazamo vyako uchwara
 
Wewe unayedai kipo kithibitishe kipo.

Uvivu uvivu tu na uzito wako wa kutafuta maarifa, Sasa kwasababu huna uwezo wowote kufanya kitu kijulikane kwako unaanza kuforce vimitazamo vyako uchwara
Nimekuthibitishia dunia ipo na ndio unayoishi ndani yake.

Ila wewe mpaka sasa hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo.

Hivi kati ya mimi na wewe nani anafosi mawazo yake uchwara?
 
Back
Top Bottom